Back in time Y2K [emoji12] akina Malamsha,Mbwana (second), Lufyagile et al hawatasahau lile toleo la wanafunzi ahaha akina akajesus!mhhh mwaka gan mkuu !umenikumbusha machungu hapa aiseee hilo neno wakoritho
Hahaha... Mkuu umenifananisha sijaenda Duce mm na sijawah kuwa msanii shule..Duce ulikuwa unatumia ipi
Halafu umefikia wapi na harakati zako za usanii
Ndio weweHahaha... Mkuu umenifananisha sijaenda Duce mm na sijawah kuwa msanii shule..
taja herf ya jina lang la mwanzo na mwsho mfn kama ni Ayoub john weka Aj.. Au mwk wang wa ku graduate pale...Ndio wewe
Vunga tu ila nshakupata mkuu
Walikuonea sana. Walikupa jina kubwa. Ulitakiw kuitwa chawa au ketio!Mie walikuwa wananiita Mao Tsetung daaah kitambo saaaan
Nilikuwa mpole sana shuleni na msafi pia halaf kadogo kadogo Siku moja palitokea mama mmoja akajifungua watoto watatu mapacha halaf nesi alomzalisha alikuwa na jina kama langu, Siku nyingine mwalimu akaingia darasani akauliza swali halaf akanipoint mm akanambia we nurse jibu hilo swali kwanza nkaduwaa nurse tena akanambia ndio we Fulani hahaha toka ile Siku hadi namaliza shule ya msingi watu wakawa wananiita nursehahaha why nurse
Nilikuwa mpole sana shuleni na msafi pia halaf kadogo kadogo Siku moja palitokea mama mmoja akajifungua watoto watatu mapacha halaf nesi alomzalisha alikuwa na jina kama langu, Siku nyingine mwalimu akaingia darasani akauliza swali halaf akanipoint mm akanambia we nurse jibu hilo swali kwanza nkaduwaa nurse tena akanambia ndio we Fulani hahaha toka ile Siku hadi namaliza shule ya msingi watu wakawa wananiita nurse
Back in time Y2K [emoji12] akina Malamsha,Mbwana (second), Lufyagile et al hawatasahau lile toleo la wanafunzi ahaha akina akajesus!
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Naikumbukaga sana nickname yangu jaman enzi hizo nipo form 3 nilianza kujiita YOUNG SINGLE n FREE!(Y.S.F)lilivuma sanaaaa! had kwenye daftar la teacher zwazwa unaandika tu sema masomo ya teacher mnoko huthubutuu ! lol
kaka yangu alikua akijiita MPUSH(akimaanisha msukuma) rip bro
dada yangu alikua akijiita ability heheheh nakumbuka wazaz hawakuwa wanayajua haya majina kbs !
tupia a.k.a yako enzi za shule
Yes ndo tuliwasumbua hao wazee,hadi shule za Mungai hizo MET Mufindi Education Trust zikapunguza kudahili wanafunzi nje ya mkoa maana ndo waliolianzisha kasheshe, infact walichoma jengo la utawala wakaharibu chakula stoo kwa kuchanganya sukari mahindi maharage unga na mchele pamoja kisha wakavimwaga uwanja wa basketi, magodoro yao waliyaondoa bwenini wakayapeleka pori ili wachome mabweni lakini FFU waliwahi WAKORINTHO III ilizua kizaazaa kwa kweli RIP bro wako inawezekana namkumbuka!mwaka 2000 mdabulo ilipochomwa ulikuepo? hao watu ht siwafaham ila kaka yangu alisomaga hapo !nadhan huenda ulikuepo toleo la kaka angu lol!rip bro