Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Ze bakteria
Wengi walizoea kuniita dogo bacteria yan
Kisa nilijibu swali
Alilouliza mwalimu aliuliza ni bacteria gani
Yupo kwenye nyama
Haha nkamenshen pale Ascaris
Doooooh alafu ndio kwanza nimeingia...hapo nimechelewa hahaha
Mpaka namaliza naitwa Bacteria


hahahahhhahah
 
TIcha zwazwa ndo yukoje? Jikerebishe wew na inaelekea ulienda kusumbua shuleni.

Ok mim nick name yan mliitwa Longboy mref kuliko mti.
 
Kapeace masupu

Balehe yangu nilinenepa sana miguu ikajaa haswa shule nzima ikawa ukitaka unipate ulizia kapeace masupu
 
O level nilikua naitwa Sinyorita
Advance nilikuwa naitwa social sababu nilikua kiongozi wa starehe
 
Dah!
By early 2000's pale Kitieni, in our class and in other classes I was known by nickname Yasser Willey(YW).
Umenikumbusha mbali mdau.
42c9a9ed0ec1ca7339792d39dd57f141.jpg
 
Back
Top Bottom