Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kucha za kwenye avatar ni zako basi ni nzuri sana.[emoji85] Miss independent
Hii nilipewa kutokana na urembo pia nilikua naongoza kitaaluma kwa wadada wote
Sawa.Kama kucha za kwenye avatar ni zako basi ni nzuri sana.
Hahaaa Mkuu Tosa boys tunyoshe mikono juu hii 2007Mh mi yangu siitaji
Pale tosa ilikua ikitoka pap two ilikua inafata yangu kwa umaarufu cha kushangaza wengi walikua hawanijui ilikua kila mtu akinijuia ni mimi anapatwa na bumbuwazi coz walikua wanajua ni bonge la mtu
Mh hizi a.k.a ni shida kwa kweli
makanjanjaNaikumbukaga sana nickname yangu jaman enzi hizo nipo form 3 nilianza kujiita YOUNG SINGLE n FREE!(Y.S.F)lilivuma sanaaaa! had kwenye daftar la teacher zwazwa unaandika tu sema masomo ya teacher mnoko huthubutuu ! lol
kaka yangu alikua akijiita MPUSH(akimaanisha msukuma) rip bro
dada yangu alikua akijiita ability heheheh nakumbuka wazaz hawakuwa wanayajua haya majina kbs !
tupia a.k.a yako enzi za shule