Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Wakorintho wa III pale Mdabulo Sec...wenyewe kina Chrispin Ng'weng'we wanakumbuka namuona sijui mkuu wa wilaya wapi huko
 
Wakorintho wa III pale Mdabulo Sec...wenyewe kina Chrispin Ng'weng'we wanakumbuka namuona sijui mkuu wa wilaya wapi huko


mhhh mwaka gan mkuu !umenikumbusha machungu hapa aiseee hilo neno wakoritho
 
Daaah utoto raha sana enzi izo need likua najiita intelligent girl kwenye madaftari adi kwenye masweta nimeandika chata langu hahaha


ahhahah hata mie niliacha machata ya kufa mtu had kwenye miti dah hahaha unajiita inteligent na ukute ukifaulu sana una C !hahahah
 
mm walikua wananiita "buti k" kwa sababu nilikuaga navaa viatu vikubwa
 
nakumbukaga walikuwa wananiitaga DJ mafuvu kwa maana kwanzia darasani la 7nilikuwa nishaanza kupiga mzimu kupika sec ndo nikawa wire wa stima
 
mimi DMCT yaan Dirty Mind Clean Thoughts... Kgm sec chata zimejaa bwenini, DH ,JIKONI na loundry... Kuna dogo mkulya alikua anajiita SERIKALI.. hata umpe adhabu vipi hafanyi duh..
Duce ulikuwa unatumia ipi

Halafu umefikia wapi na harakati zako za usanii
 
Back
Top Bottom