Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Mi a.k.a yangu sekondari , chuo na mpaka sasa ni " Mume wangu "
 
Daaa
O level iyo skul yote nilijulikana kwa jina la "MIKONO 30" kwa uwez wangu mahili wa u goalkeeper
 
Nickname yangu tangia form one mpaka saiv washkaji wananiita
 
Mie nilikua na nyingi...bad Spencer, Tozi, Clinton na Owen.
 
Mtaani bongonyo, primary computer, o level HP,chuoni Baba zube......... [emoji123][emoji123][emoji123]
 
GS.....Great Solver enzi hizo bana shule shule kweli sio kiduku
 
Samurai ( o level) Carlos ( A level) MTU wa matukio na plotter. Mchora mishe.
 
Olevel suche na kapeto coz tupo twins, high level Capitalist coz nilikuwa nimeanza ujasiliamali
 
Back
Top Bottom