livingroom_espionage
Member
- Jul 8, 2026
- 37
- 77
Naweza kusema kwamba Mh. Jakaya bwana enzi zake watu walikuwa huru sana, Huyu mzee bwana licha ya mapungufu yake, kuna vitu alifanya watu nadhani mpaka kesho watamkumbuka na kumuheshimu.
Picha linaanza ile show ya kina sugu inafanyika usiku na wanatukana matusi ya nguoni kuitukana clouds na kina Ruge.
Asubuhi, Kwenye powe breakfast ya kina Gerard hando wanapiga Ile nyimbo ya Tupac - hit em up tena dirty version
Hivi TCRA walikuwaga wapi enzi hizo ?