Unaikumbuka timu hii ya Taifa ya Uholanzi

Niliuumia sana kile kikosi cha dhahabu kikivyokosa WC ya 2002.
 
Aibu iliyoje kwa Uholanzi na Italy kushindwa kufuzu world cup
 
kwa kipaji cha Marco Reus na majeraha yanayomsibu kila kukicha kuna muda mwingine unaweza ukatokwa na machozi! Hana bahati. Ni kama ilivyotokea kwa akina Owen Hargreaves, Martin Laursen, Dean Ashton na wengineo!
Bila kumsahau na Victor Costa nampuka
 
Agiza pespi popote nakuja kulipa, umenikumbusha mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…