Mimi kuna wasanii flani ndo wanaishi karibu na kwangu ila mimi siishi karibu na kwaotupeane taarifa wakuu mitaani mwetu kuna wasanii wanaishi maisha ya shida sana lakin media zinatuaminisha kuwa wanaishi maisha ya juu kuna wasanii wamekufa na tulikuwa tunawapenda hakuna walichoacha hata kiwanja hakuna kwa ili linasikitisha pia kama kuna msanii huko mtaani ni kero wananchi tujue ni jinsi gani tunaweza kuwabadilisha jukwaani
Hahaaa usher tenaUsher lives a block away from my house!
Ndo nan huyoBaba Mwanaasha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umetishaMan Fongo.
Ila sina mke yeye ndiye ana mke kwahiyo hainaga ushemeji....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndio midiziniUNAKAA MANZESE KUMBE!!
Dah hiyo michezo hajaiacha? Toka kitambo ndio uhun wake huo!mm nakaa jiran na mada maugo, aisee jamaa ni mshari sana anawachukuwaga madem za watu kibabe, akipigwa ulingoni wadau weng kitaan wanafurahi
bado hajaacha kakaDah hiyo michezo hajaiacha? Toka kitambo ndio uhun wake huo!
SIKU HIZI KUMEKUWA NEWYORK FULL MAGHOROFA YAKUFA MTU[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndio midizini
Ila ni kuanzia tip top huku kwetu bado sio kivileSIKU HIZI KUMEKUWA NEWYORK FULL MAGHOROFA YAKUFA MTU
Hahahaha mkuu wew ndo umeua, yule nae ni msanii?Yule mtoto anayesema: tigopetha.
YOU MADE ME ππππWasanii wa music au haya hawa wa siasa? Weka swali vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Man Fongo.
Ila sina mke yeye ndiye ana mke kwahiyo hainaga ushemeji....
[emoji445]hainaga ushemeji tunakulaaaa [emoji445]Huyu jamaa anapigaga mikelele tu, nashangaa sijui watu mnawezaje kumsikilza
Kumbe unaishi Chanika?mm nakaa jiran na mada maugo, aisee jamaa ni mshari sana anawachukuwaga madem za watu kibabe, akipigwa ulingoni wadau weng kitaan wanafurahi
[emoji12] [emoji12]
Bahati mbaya sijawahi kupata fursa kama hizi aiseeee....[emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji445]hainaga ushemeji tunakulaaaa [emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]