Unaishi karibu na msanii gani kitaa chako?

Unaishi karibu na msanii gani kitaa chako?

NAJILAUMU HAPA KITAA KUMKOSA KOSA KUMMEGA LULU WA KANUMBA NIKABAHATIKA KUMMEGA RAFIKI YAKE DAAAAH! NATAMANI DUNIA IRUDI NYUMA
 
tupeane taarifa wakuu mitaani mwetu kuna wasanii wanaishi maisha ya shida sana lakin media zinatuaminisha kuwa wanaishi maisha ya juu kuna wasanii wamekufa na tulikuwa tunawapenda hakuna walichoacha hata kiwanja hakuna kwa ili linasikitisha pia kama kuna msanii huko mtaani ni kero wananchi tujue ni jinsi gani tunaweza kuwabadilisha jukwaani
Mimi kuna wasanii flani ndo wanaishi karibu na kwangu ila mimi siishi karibu na kwao
 
[emoji445]hainaga ushemeji tunakulaaaa [emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati mbaya sijawahi kupata fursa kama hizi aiseeee....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Naweza nika geuka nzi kufia kwenye kidonda....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom