Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,319
- 10,416
Poti katika ubora wake😀😀😀😀😀😀😀Usher lives a block away from my house!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poti katika ubora wake😀😀😀😀😀😀😀Usher lives a block away from my house!
Kwann mkuudiamond inabidi aishi masaki
Duuuh Mwaka gani huo mkuu, kweli wasanii wa bongo chenga tuDuh niliwahi kuishi nyumba moja na linex duh balaa jamaa mibangi sana nakumbuka mpk mwenye nyumba alimwendea serikali ya mtaa jamaa anadaiwa kodi na ahame
Kumbe da Nifah ni msanii[emoji144] [emoji144]Nifah
Mkuu mbona hufanani na midiziniIla ni kuanzia tip top huku kwetu bado sio kivile
Muda kidogo kama miaka mitatu nyumaDuuuh Mwaka gani huo mkuu, kweli wasanii wa bongo chenga tu
50 cents...tupeane taarifa wakuu mitaani mwetu kuna wasanii wanaishi maisha ya shida sana lakin media zinatuaminisha kuwa wanaishi maisha ya juu kuna wasanii wamekufa na tulikuwa tunawapenda hakuna walichoacha hata kiwanja hakuna kwa ili linasikitisha pia kama kuna msanii huko mtaani ni kero wananchi tujue ni jinsi gani tunaweza kuwabadilisha jukwaani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]M
Mkuu mbona hufanani na midizini
tupeane taarifa wakuu mitaani mwetu kuna wasanii wanaishi maisha ya shida sana lakin media zinatuaminisha kuwa wanaishi maisha ya juu kuna wasanii wamekufa na tulikuwa tunawapenda hakuna walichoacha hata kiwanja hakuna kwa ili linasikitisha pia kama kuna msanii huko mtaani ni kero wananchi tujue ni jinsi gani tunaweza kuwabadilisha jukwaani
Teh kama vile nakujua, tumeishi mtaa mmojaKwao na Fid Q
Alipokulia na alipoanzia maisha yake ya kimuziki.
[HASHTAG]#straight[/HASHTAG] outta rufiji
Comrade Nyani NgabuYes Sir, johns creek/alpharetta.
We utakuwa jirani ndo mana narest kesi.
Hama huo mtaa, kuna siku mtaambiwa "Marufuku watu wa mtaa huu kuvuta pumzi"Makonda
hupitwi mamiiiKumbe unaishi Chanika?
Huyu jamaa bwana,kafunga ndoa juzi tu na nilienda kwenye harusi yake.