Unaishi karibu na msanii gani kitaa chako?

tupeane taarifa wakuu mitaani mwetu kuna wasanii wanaishi maisha ya shida sana lakin media zinatuaminisha kuwa wanaishi maisha ya juu kuna wasanii wamekufa na tulikuwa tunawapenda hakuna walichoacha hata kiwanja hakuna kwa ili linasikitisha pia kama kuna msanii huko mtaani ni kero wananchi tujue ni jinsi gani tunaweza kuwabadilisha jukwaani
50 cents...
 
Hapa kwetu kila mtu anajifanya ni msanii wa bongo fleva, yaani hawana mpango hata kidogo, yaani kwao kila kitu kuiga tu.
 
Back
Top Bottom