😁😁😁imebidi nicheke,sasa kamaUsifosi ushauri wako utumike kwenye pesa ya mtu mwingine, we kama umeolewa base kwenye duties zako zinazokuhusu kama kufua, kupika na usafi hayo mengine ni juu ya mme wako akiamua akushirikishe ni sawa asipo amua kukushirikisha ni sawa pia kwasababu Yeye ndio Bosi kwenye familia yenu anajua nini atafanya chakula kipatikane na wewe kama mke wake upendeze.
Plan gani tena mkuu?mimi hapana jengaa kwenye kiwanja cha urithiWewe ulipoanza kufanya Plan zako yeye mbona hakupinga??? Wanawake huwa mna changamotoo sanaa unataka ununue kiwanja kimyakimyaa au ufanye ujenzi kiwanja cha urithi bila kiomba ushaurii ila mwenzio akianza kufanya jambo lake unaona hayupo sahihiii..
Huenda ushauri wako anaona haufai, ndio maana anakataa kuuchukua.Sasa ushauri wangu unakuaje chanzo cha tatizo na hauchukui?
Yeah kaa kimya, pengine hata hio ni plan pia ya maisha yenu kusonga. Istoshe idea ya mwanaume kuwa na mwanamke ni kupata usaidizi. Hio inamaanisha usaidizi wako utahusika pale akihitaji na kama asipohitaji we chill kula ulale.[emoji16][emoji16][emoji16]imebidi nicheke,sasa kama
Sipendezi niendelee tuu kukaa kimya?
Unamwambia KIKO WAPIII 😂Mimi sipanick mtu asipotekeleza ushauri wangu...kwanza nimeshaacha kutoa ushauri maana haisaidii...
Namwacha afanye atakavyo..ikitokea kachemka namwambia neno moja tu nimemaliza...POLE.
Akiomba ushauri namwambia fanya tu vile unavyoona ni sawa. Hakuna haja ya kupanic
Kivipi mkuuu na yeye ni baba wa familia?
Duh! Una roho mbaya aise. Kwa hili jibu hatojinyonga!Mkuu usijipe sana umuhimu kwenye maisha ya mtu
(mtu ni mme/mke/mzazi/ndugu na marafiki)
Kama haujanielewa sema.
Kimoyomoyo namwambia hivyo😅😅. Huwa naishia kumpa poleUnamwambia KIKO WAPIII 😂
Fanya kinachowezekana maana madhara yake yanagharimu adi ustawi wa familia. Nakwambia haya kwa sababu nimekulia familia ya aina hii mpaka kesho mzee wangu hashauriki licha ya kuwa anaangukia pua mara nyingi ila hakomi.Inabidi nianze kukubaliana na hili tu.
Basi usijipe umuhimu kwenye hela zake wewe endelea na salon na skin careN
Ninazo basi?yeye ndo Don mm nina zakutumia kubadilisha mboga tuu kwenda saloon na za skin care routine kwishaaa.