Please naomba unisaidie point mbili tatu kwenye hapo pa kufanya kinachowezekana….nifanye vitu gani??Fanya kinachowezekana maana madhara yake yanagharimu adi ustawi wa familia. Nakwambia haya kwa sababu nimekulia familia ya aina hii mpaka kesho mzee wangu hashauriki licha ya kuwa anaangukia pua mara nyingi ila hakomi.
Kwanza unakuta ushauri sio mzuri yeye amefanya nini kikubwa kwenye maisha yake mpaka afosi ushauri wake uchukuliweKatika vitu mimi sipokei ni ushauri ambao sijaomba nipewe.
Ukishamjua mtu utajua namna ya kuishi nae, kuna baadhi ya mambo unaweza kufanya mwenyewe ila kuna yale ambayo huwezi kufanya bila yeye na hapo ndio shida inakuwepo.Please naomba unisaidie point mbili tatu kwenye hapo pa kufanya kinachowezekana….nifanye vitu gani??
AISEEHuyo sio kwamba hapokei ushauri kabisa kutoka kwa watu. Anapokea ushauri vizurii tu ila ushauri usio sahihi. Kitendo cha kuachana na Project A na kukimbilia kuanzisha nyingine hapo ni ushahidi kwamba kuna watu walimshauri ila huo ushauri haukuwa sahihi kwake.
Ndio maana tunasema wanawake hawana mchango wowote kwenye ndoa au mahusiano zaidi ya KSasa hapo ndo umenishauri kweli?nikae niangalie familia inadidimia?weee ndo maaana nmekuja huku kupata mawazo ya kunivushaaa.
Its very simple mathematics hapo. Mwenye njaa mpe chakula kinyume chake usimpe, mwenye shida msaidie kinyume chake usimsaidie. Ambaye hataki kushauriwa usimshauri sababu ameshakuonyesha hataki kufuata unachomwambia.Okaay umenifumbua macho,asante.!sasa naomba ushauri namna ya kudeal na hii tabia yake.