Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Naishi nao vyema tu, na uzuri tangu bado mdogo nilikuwa peace na wengiNimezaliwa katika mtaa ambao kwa sasa naweza ita ni uswahilini, pamoja na wengi kuondoka na kujichanganya kwingine, mimi narudi home karibu kila wiki kwa sababu home zipo biashara zinazonipeleka , pamoja na wengine kuhama bado wapo wenyeji wengi sana wanaoshi hapo mtaani kwetu,.........
.
.........
. Moja ya changamoto ni ile imani ya uliowacha home wanamini umetoboa na maisha umeyapatia ( ukweli sijatoboa maisha ni magumu sana, ) wao homies wakikuona tu ni vizinga na kuomba hela hali hii inaboa sana( kifupi bado sijapata hela isiyokuwa na budget so nikitoa buku nimeharibu hesabu ,nimejaribu mbinu nyingi imeshindikana sasa naishi kwa kujificha ficha tu , ukitokea msiba au tukio la kijamii huwa ni siku ya kuombwa pesa tu, ,,,,,,,,,,,,,,,,,,, , , , ,,bar huko ni shida utaombwa bia ukome, mara upigiwe simu nimekamatwa kituo cha polisi, mara wakuarike kwenye sherehe flan hivi michango kibao nk , na kumbuka hawa ni homies ndio nikifa watanizika, hawa ndio yakitokea matazizo nyumban wanashiriki,, ndio wananipa deal nyingi , je wewe unaishije nao
Kwa sasa amani inatawala kasoro kwa baadhi ya kaka zetu ambao walituonea bila sababu kisa tu wao wakubwa, hao ndio mpaka kesho wanajishtukia kutokana na unoko waliotufanyia