Unajiandaa kuangalia fainali ya kukumbukwa ukiwa wapi?

Unajiandaa kuangalia fainali ya kukumbukwa ukiwa wapi?

Fainali ya kukumbukwa kweli maana mtu kupigwa 3+ wengi haitasahaulika
 
Mkuu unasoma taarifa za CAF

CAF wanasema for the first time ,Wewe unasema miaka 30 iliyopita

Heshima taarifa za wahusika,Chanzo cha taarifa za mpira wa mashindano ya Afrika yanatoka CAF

Nenda website ya CAF.
Wameingia chaka halafu wakakuchukua na wewe mkaenda wote.. Rejea historia ya haya mashindano mwaka 1993 SIMBA alifanya nini
 
Amin
Leo ni siku muhimu na maalum sana kwenye ulimwengu wa soka Tanganyika pale Mnyama Simba mwakilishi pekee wa kimataifa Tanganyika... Atakaposhuka dimbani huko Morroco kumenyana kwenye fainali za CAF

Ni siku maalum sana kwa SIMBA kwakuwa ilifanikiwa kufika hatua hii miaka 30 iliyopita
Ni siku maalum pia kwakuwa mpaka kufika hapo ametoka mbali sana

Basi itengenezee umaalum wake kwakuwa huna hakika ya kuja kuona fainali nyingine.. Ifanye siku ya leo kuwa tukio la kipekee sana..

Mimi nimeshatua Bukoba hapa tangu jana lakini final destination ni hapo kwa M7 Kampala kiwanja maarufu cha PLAN B mtaa wa Mengo
Kwakuwa SIMBA anaenda kuushangaza ulimwengu wa soka..basi siku ya leo ifanye maalum sana kwa wivu mkubwa kabisa
Wabongo mlioko Kampala see you baadae PLAN B .. Tutatambuana kwa mavazi na lafudhi
Mungu ibariki SIMBA❤💕❤💕
Aminaa, tupo pamoja. Simba nguvu moja
 
Hapana nakaribia boda ya Mtukula nivuke. Kuna wanyange
na walimbwende wakinyankole wananisubiri huko kwa jirani.. Kilinge kimeshamaliza kazi mbona?
Wasalimie sana huko,lakini usije baadaye ukasingizia hakuna mtandao baada ya 3+ pale Berkane 😀, urudi kulinda Uzi wako
 
Kwa mzee Manara Wailes

Siku nyingine tukifika stage hii simba naomba Serikali asiingilie Sana mpira

Maana mpaka sasa attention kubwa mtaani sio simba ni kisutu
Maana mpaka sasa attention kubwa mtaani sio simba ni kisutu📌🔨
 
Binti Sayunii jiran naomba nikupitie !
9DEA3704-AC49-4490-B8E7-7E5A8CF1D82C.jpeg
 
Wasalimie sana huko,lakini usije baadaye ukasingizia hakuna mtandao baada ya 3+ pale Berkane 😀, urudi kulinda Uzi wako
Nina simu 3 zenye thamani ya Brevis na Toyo.. Ziko full charge full bundle.. Nina power bank 3 za watts 1000 kola Moja.. Niendako kiwanja cha Plan B kampala pana WiFi ya 6G😎
 
Nina simu 3 zenye thamani ya Brevis na Toyo.. Ziko full charge full bundle.. Nina power bank 3 za watts 1000 kola Moja.. Niendako kiwanja cha Plan B kampala pana WiFi ya 6G😎
Basi nisamehe sana,kumbe umejipanga kwa vita natarajia wakati mechi ikiwndelea tutakuwa live hapa 😀
 
Niko Mtwara, shughuli zimenibana ila ikifika mida ya mechi, ntaoga, nivae kijora kisha nijongee kunakooneshwa mtanange wa Simba.

Nakunywa maji ya tangawizi kwa wingi kuweka koo na sauti sawa ili nipige ukunga wa kutosha kila goli litapoingia....😊.

Amsha amsha kama kawa, kama dawa...😅.

Sijui nimeanza kumiksi madesa au niko kwenye mstari eehehe.

Poa poa, midamida 😉.
Niletee korosho bibie.
 
Leo ni siku muhimu na maalum sana kwenye ulimwengu wa soka Tanganyika pale Mnyama Simba mwakilishi pekee wa kimataifa Tanganyika... Atakaposhuka dimbani huko Morroco kumenyana kwenye fainali za CAF

Ni siku maalum sana kwa SIMBA kwakuwa ilifanikiwa kufika hatua hii miaka 30 iliyopita
Ni siku maalum pia kwakuwa mpaka kufika hapo ametoka mbali sana

Basi itengenezee umaalum wake kwakuwa huna hakika ya kuja kuona fainali nyingine.. Ifanye siku ya leo kuwa tukio la kipekee sana..

Mimi nimeshatua Bukoba hapa tangu jana lakini final destination ni hapo kwa M7 Kampala kiwanja maarufu cha PLAN B mtaa wa Mengo
Kwakuwa SIMBA anaenda kuushangaza ulimwengu wa soka..basi siku ya leo ifanye maalum sana kwa wivu mkubwa kabisa
Wabongo mlioko Kampala see you baadae PLAN B .. Tutatambuana kwa mavazi na lafudhi
Mungu ibariki SIMBA❤💕❤💕
Vipi mzeya hapo kilingeni kwako hamjachungulia mechi tujue ukweli wa mambo kabla ya mambo yenyewe?
 
Back
Top Bottom