Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Najua saizi upo kilingeni kuhaha kupunguza magoli lakini umechelewa ππDua la mende kabati lianguke ale viporo mpaka avimbiweπ
Wameingia chaka halafu wakakuchukua na wewe mkaenda wote.. Rejea historia ya haya mashindano mwaka 1993 SIMBA alifanya niniMkuu unasoma taarifa za CAF
CAF wanasema for the first time ,Wewe unasema miaka 30 iliyopita
Heshima taarifa za wahusika,Chanzo cha taarifa za mpira wa mashindano ya Afrika yanatoka CAF
Nenda website ya CAF.
Aminaa, tupo pamoja. Simba nguvu mojaLeo ni siku muhimu na maalum sana kwenye ulimwengu wa soka Tanganyika pale Mnyama Simba mwakilishi pekee wa kimataifa Tanganyika... Atakaposhuka dimbani huko Morroco kumenyana kwenye fainali za CAF
Ni siku maalum sana kwa SIMBA kwakuwa ilifanikiwa kufika hatua hii miaka 30 iliyopita
Ni siku maalum pia kwakuwa mpaka kufika hapo ametoka mbali sana
Basi itengenezee umaalum wake kwakuwa huna hakika ya kuja kuona fainali nyingine.. Ifanye siku ya leo kuwa tukio la kipekee sana..
Mimi nimeshatua Bukoba hapa tangu jana lakini final destination ni hapo kwa M7 Kampala kiwanja maarufu cha PLAN B mtaa wa Mengo
Kwakuwa SIMBA anaenda kuushangaza ulimwengu wa soka..basi siku ya leo ifanye maalum sana kwa wivu mkubwa kabisa
Wabongo mlioko Kampala see you baadae PLAN B .. Tutatambuana kwa mavazi na lafudhi
Mungu ibariki SIMBAβ€πβ€π
Wasalimie sana huko,lakini usije baadaye ukasingizia hakuna mtandao baada ya 3+ pale Berkane π, urudi kulinda Uzi wakoHapana nakaribia boda ya Mtukula nivuke. Kuna wanyange
na walimbwende wakinyankole wananisubiri huko kwa jirani.. Kilinge kimeshamaliza kazi mbona?
Maana mpaka sasa attention kubwa mtaani sio simba ni kisutuππ¨Kwa mzee Manara Wailes
Siku nyingine tukifika stage hii simba naomba Serikali asiingilie Sana mpira
Maana mpaka sasa attention kubwa mtaani sio simba ni kisutu
Nina simu 3 zenye thamani ya Brevis na Toyo.. Ziko full charge full bundle.. Nina power bank 3 za watts 1000 kola Moja.. Niendako kiwanja cha Plan B kampala pana WiFi ya 6GπWasalimie sana huko,lakini usije baadaye ukasingizia hakuna mtandao baada ya 3+ pale Berkane π, urudi kulinda Uzi wako
Basi nisamehe sana,kumbe umejipanga kwa vita natarajia wakati mechi ikiwndelea tutakuwa live hapa πNina simu 3 zenye thamani ya Brevis na Toyo.. Ziko full charge full bundle.. Nina power bank 3 za watts 1000 kola Moja.. Niendako kiwanja cha Plan B kampala pana WiFi ya 6Gπ
Niletee korosho bibie.Niko Mtwara, shughuli zimenibana ila ikifika mida ya mechi, ntaoga, nivae kijora kisha nijongee kunakooneshwa mtanange wa Simba.
Nakunywa maji ya tangawizi kwa wingi kuweka koo na sauti sawa ili nipige ukunga wa kutosha kila goli litapoingia....π.
Amsha amsha kama kawa, kama dawa...π .
Sijui nimeanza kumiksi madesa au niko kwenye mstari eehehe.
Poa poa, midamida π.
Wife simba nini mwanawane...hapo unaomba simba afunge magoli tuu ili baadae na weye ukafunge magoli kwenye uwanja mdogoHome with my wife and kids
Vipi mzeya hapo kilingeni kwako hamjachungulia mechi tujue ukweli wa mambo kabla ya mambo yenyewe?Leo ni siku muhimu na maalum sana kwenye ulimwengu wa soka Tanganyika pale Mnyama Simba mwakilishi pekee wa kimataifa Tanganyika... Atakaposhuka dimbani huko Morroco kumenyana kwenye fainali za CAF