Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba mpyaMtoto wa mjini kipaumbele Cha kwanza kuvaa.
Huwezi kuwa mtoto wa mjini unaendekeza kula kuliko kuwa nadhifu ,unafeli mchana kweupe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata wale wavuta bang navibaka nao wanajiita watoto wamjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umemuambia.Kwakweli mi napenda kula na bia kuliko kuvaa.
Utoto wa mjini unakusaidia nini kama pesa ya kula inakupiga chenga!! Watoto wa mjini wanakula vyedi mpaka watu hujiuliza huyu anafanya ishu gani.
Watoto wa chuo ndo hawali ili wapendeze, matokeo yake huishia kukondeana mno.