Unajiitaje msomi halafu unaamani biblia? Sidhani kama kuna Mwanasayansi aliiamini

Unajiitaje msomi halafu unaamani biblia? Sidhani kama kuna Mwanasayansi aliiamini

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
NB: Tanzania hakuna wasomi

1. Paulo: "Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu"
1 Wakorintho 15:3
"Maana nilikwisha kuwapa, kwanza kabisa, yale niliyopokea pia; ya kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama ilivyokuwa katika maandiko."

2. Yesu: "Mtafa kwa dhambi zenu wenyewe"

Yohana 8:21
"Basi akawaambia tena, Mimi naenda zangu, nanyi mtanitafuta, na katika dhambi yenu mtafa; niwapo mimi ninyi hamwezi kuja."
Context: Alikuwa anaongea na Mafarisayo wasiomwamini.

3. Mungu: "Hakuna mtu atakayefia dhambi ya mwenzake"

Ezekieli 18:20
_"Nafsi iyo dhambiyo ndiyo itakayofa. Mwana hatabeba uovu wa baba, wala baba hatabeba uovu wa mwana. Haki ya mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wa mwenye uovu utakuwa juu yake."
 
Attachments

  • 1787414894728.jpg
    1787414894728.jpg
    175.9 KB · Views: 9
Je kama ni msomi wa theolojia ngazi ya uprofesa, daktari wa theoloji, shahada, huu si usomi?
 
Kwenye suala la imani, hakunaga profesa wala Mwanasayansi, wala Mjeda wala nani.

Binadamu hawezi ishi bila kuwa na IMANI.

Ndio maana wewe unaweza kwenda Airport, humjui Rubani, hujawahi kumwona, hujui aliyeitengeneza hiyo ndege. Lakini bado unaamini utaenda na kufika salama.

Unapopanda ndege hutumii akili unatumia Imani.
 
Je kama ni msomi wa theolojia ngazi ya uprofesa, daktari wa theoloji, shahada, huu si usomi?
 
Kuna kitu ambacho huelewi hapo mkuu,
Maana ya Yesu kufa kwa ajili ya dhambi zetu ni hii;
Yesu alikuja duniani kutufundisha kuachana na dhambi, sasa kazi yake hii iliwafanya wasiomtaka kumsulubu na kumuua. Kwa hiyo kilichomfanya kufa ni ile kazi ya kutuondoa dhambini. Kilichosababisha kifo chake ni dhambi zetu, ndio maana tunasema amekufa kwa ajili ya dhambi zetu kwa sababu dhambi zetu ndo chanzo cha kifo chake...

Nafikiri sasa umeelewa.
 
Kwenye suala la imani, hakunaga profesa wala Mwanasayansi, wala Mjeda wala nani.

Binadamu hawezi ishi bila kuwa na IMANI.

Ndio maana wewe unaweza kwenda Airport, humjui Rubani, hujawahi kumwona, hujui aliyeitengeneza hiyo ndege. Lakini bado unaamini utaenda na kufika salama.

Unapopanda ndege hutumii akili unatumia Imani.
Una imani ndio maana huruki kutoka juu ghorofani
Una Imani ndio maana huendi airport bila passport usafiri kama Wasabato masalia
 
Back
Top Bottom