Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
huu ni upupu unaoitwa mickey mouse degreesJe kama ni msomi wa theolojia ngazi ya uprofesa, daktari wa theoloji, shahada, huu si usomi?
Una imani ndio maana huruki kutoka juu ghorofaniKwenye suala la imani, hakunaga profesa wala Mwanasayansi, wala Mjeda wala nani.
Binadamu hawezi ishi bila kuwa na IMANI.
Ndio maana wewe unaweza kwenda Airport, humjui Rubani, hujawahi kumwona, hujui aliyeitengeneza hiyo ndege. Lakini bado unaamini utaenda na kufika salama.
Unapopanda ndege hutumii akili unatumia Imani.