Unajipaka mafuta gani mwilini?

Now unatumia nini?

Niliyatumia ni mazuri.
Duh mi sieleweki kila mafuta nimo!but sbb ngozi yangu hainaga shida!
Kwa ss miki clair cream ila mwilini tu!hainifanyi kitu ila tu ngozi imekuwa vzr sn!

Usoni naogopa kupaka,sipaki sbb nina mafuta sn ngozi ya uso,ndo niliifikiria hii morrocan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napaka bronze lotion na mafuta yaawese, naogea Dettol au shower gel ya dove, scrub nafanya manjano, miguu nasugua kweny jiwe nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…