Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
wapakwa mafuta nawasalimia kwa jina la JMT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii haina madhara yoyote kwenye ngozi, mfano kung'arisha sana ngozi???Nivea Q10
Hapana ni nzuri sana hii haibadili ngozi kiasi hicho inaleta mngao fulani mzuri tuHii haina madhara yoyote kwenye ngozi, mfano kung'arisha sana ngozi???
Nitajaribu kuitumia nione matokeo yake!Hapana ni nzuri sana hii haibadili ngozi kiasi hicho inaleta mngao fulani mzuri tu
Baby gal,hii morrocan km naielewa ila sijawahi kuitumia!Tumia Morrocan Argan oil au Nivea tu.
Now unatumia nini?Baby gal,hii morrocan km naielewa ila sijawahi kuitumia!
Nawaza kujaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mi sieleweki kila mafuta nimo!but sbb ngozi yangu hainaga shida!Now unatumia nini?
Niliyatumia ni mazuri.
Moroccan oil iko vizuri jamaniBaby gal,hii morrocan km naielewa ila sijawahi kuitumia!
Nawaza kujaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
Napaka bronze lotion na mafuta yaawese, naogea Dettol au shower gel ya dove, scrub nafanya manjano, miguu nasugua kweny jiwe njeHebu wanaukumbi tushee hii kitu, hebu tuambizane. Je unatumia mafuta gani mwilini/lotion/cream? Unaogea sabuni gani?
Mimi kuanzia natumia lotion ya Ingram, naogea sabuni ya Pearl na mafuta ya nazi niliyotengeneza mwenyewe. Kila Jumapili natengeneza.
Matokeo nipo soft mpaka najitamani.
Wewe je?
NB: Natafuta foundation nzuri sijapata naombeni idea