Unajipaka mafuta gani mwilini?

poa mkuu castrol oil inasafisha tumbo unaharisha kila zagazaga huwa nakunywa sana nikijiona sipo ok?
You will always look natural beauty,yaani asili haijaacha kitu mkuu,wapo wajanja wanatengeneza mpaka lipshine za asili,unaweka asali na samli,aisee unakua na tender lips hatar
 
You will always look natural beauty,yaani asili haijaacha kitu mkuu,wapo wajanja wanatengeneza mpaka lipshine za asili,unaweka asali na samli,aisee unakua na tender lips hatar
ahaaa unatisha yaani ngoja nitengeneze lip shine zangu mkuu una idea amaizing sana thank you
 
Duuh! Una "aleji" kama mimi nini?

Me pia natumia sabuni hizo kama nikibadili ni dettol, kinyume na hapo ni majanga.

Mafuta ya nazi (nitangeneza mwenyewe, naweka na karafuu+mdalasini+hiliki)
Ukitoka hapo unanukia Kama wali wa pemba
 
yapo mkuu yanauzwa buku mbili tuu yanatoka zenj,yako poa sana,kwanza yanalainisha sana alafu ni moja ya mosquito repellent ya ukweli sana,pia yapo ya ndimu ingawa hayo sijawahi tumia
YAPO LAKINI MAZURI JITENGEZEE MWENYEWE KWANI MENGINE HUCHANGANYD MA MAFUTA HATA YA KORIE TU.NI RAHISI KUTENGENEZA ESSENTIAL OIL
 
Duuh! Una "aleji" kama mimi nini?

Me pia natumia sabuni hizo kama nikibadili ni dettol, kinyume na hapo ni majanga.

Mafuta ya nazi (nitangeneza mwenyewe, naweka na karafuu+mdalasini+hiliki)
Nijuze huo mchanganyiko Nazi plus karafuu nakuendelea
 
Tujuze
 
zoa zoa for oily skin nzuri sana hii nilipata shida wakati sijajua kila siku nabadilisha mafuta hali ikawa mbaya sana
 
foundation natumia forever52 ni nzuri sana pamoja na poda! zingatia rangi ya ngozi yako na no.ya foundation
 
Naogea Sabuni ya mche ya kigoma napaka mafuta ya nazi niliyotengeneza home (napaka kuanzia kichwani hadi miguuni)

sijutii ngozi yangu
Mafuta ya Nazi ni mazuri Sana. Ndiyo ninayotumia ngozi laini hadi raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…