Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Usinisahau na miehapana ila kuna mdau nilimkuta anatengeneza yaani ni msoft balaa nitaenda kujifunza nitakushtua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinisahau na miehapana ila kuna mdau nilimkuta anatengeneza yaani ni msoft balaa nitaenda kujifunza nitakushtua
hujui kutengeneza mafuta ya nazi?Jaman naomba unielekeze unavoyatengeneza please!
Hehe karibu.Unatengeneza mwenyewe, interesting!na isitoshe huo mchanganyiko itabidi nikutafute nitest.mimi aleji sina ila nimegundua nikitumia mafuta na sabuni za mawese mba kichwani hupotea.ila bidhaa zingine mba kichwani kama kawa.
Ndiyo dear sijuihujui kutengeneza mafuta ya nazi?
ngoja jumapili nikitengeneza nitapost na picha huku step by step yaani utapendeza hadi utajipenda haya ya dukani sidhani kama ni naziNdiyo dear sijui
Haya mammy am waitingngoja jumapili nikitengeneza nitapost na picha huku step by step yaani utapendeza hadi utajipenda haya ya dukani sidhani kama ni nazi
Unapaka na usoni au mwilini tu?ngoja jumapili nikitengeneza nitapost na picha huku step by step yaani utapendeza hadi utajipenda haya ya dukani sidhani kama ni nazi
kila mahali anzia kichwani nazi haichagui ila mimi huwa naogeaUnapaka na usoni au mwilini tu?
Chukua nazi zako 3, 5, na kuendelea.Jaman naomba unielekeze unavoyatengeneza please!
Kama uso wako wa mafuta mmh! Sikushauri upake usoni.Unapaka na usoni au mwilini tu?
Asa mamy kwanini unamimina tui kwenye lailon nyeupe kwan huwezi weka kene lailon ya rangi nyingine mbali na nyeupe?Mafuta ya nazi licha tu ya kufanya ngozi iwe nyororo kama hariri, pia hutoa alama alama mwilini, na kwa wale wenye magonjwa ya ngozi yani wakazanie sana mafuta haya, ila "home made" ni mazuri na uhakika kuliko ya madukani.
Unaweza ukamimina kwenye bakuli afu unatumbukiza kipande cha mkaa, afu unaweka kwenye friji linalala ukiamka layer ya juu inakuwa imegandaAsa mamy kwanini unamimina tui kwenye lailon nyeupe kwan huwezi weka kene lailon ya rangi nyingine mbali na nyeupe?
Chukua nazi zako 3, 5, na kuendelea.
Kuna vizuri au kama huwezi kukuna waweza zibandua kisha ukakata vipande vidogo vidogo ukablend,
(me napendelea kukuna)
Ukishamaliza chuja upate tui zuri, waweza rudia tena kuchuja kama utaona tui lipo bado kwenye machicha,
Kisha tafuta mfuko wa nailon mweupe, (waweza tumia miwili au mitatu au hata mmoja, kutegemea na wingi wa tui lako)
Mimina tui kwenye mfuko huo, kisha ufunge kwa juu na uhifadhi sehem ambayo haitatikisika.
Acha kwa masaa kadhaa kuanzia ma 3,
Ukija kuangalia utakuta maji yapo chini na tui lipo juu, cha kufanya chukua mkasi kata kipande kidogo kwa chini kisha acha yale maji yamwagike (waweza kuelekezea kwenye sufuria au bakuli sio yamwagike chini.)
Mpaka ikikaribia na tui kutoka, bana lile tundu halafu elekezea kwenye sufuria unalotaka kuchemshia tui lako, achia lile tui lote, kisha tupia karafuu, au mdalasini au hiliki au vyote (kama utapenda kukata harufu kama mimi, kama hupendi acha usiweke hivyo viungo)
Chemsha tui lako huku unakoroga kwa mwiko usiache mpaka tui litakauka lote na kuonekana mafundo mafundo meupe na mafuta yatakuja juu. Endelea mpaka yale mafundo yaanze kua rangi ya kahawia (brown).
Shusha sufuria lako, acha kama dakika 10 yapoe kisha mimina kwenye chombo utakachotumia (chuja), tupia vile viungo kama uliweka.
Tayari kwa matumizi.
oooh mimi huwa sichuji maji huwa nachemsha tui hvohvo kumbe ndo maana nakaa sana jikoniChukua nazi zako 3, 5, na kuendelea.

Mimi nazi 3 napata kichupa hicho, sasa 5 mmh isiwe unayaacha sana jikon mpaka yanakauka.