the say
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,772
- 3,360
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au ana nywele nusu kichwa kama kichwa cha Lipumba.PENGINE AKIVUA WIGI ANA KIPARA KIKUBWA TU
Sasa hapo utaangalia mwenyewe kama akivaa wigi ndo unakuwa comfortable au akivua wigi ndo unakuwa comfortable?
Hizi chuchu feki nimeziona kwa dj flani alietrend sana mitandaoni siku tatu zilizopita
Mkuu hayo ya buku yatakuwa manyoa ya kuku [emoji23][emoji23]Wenyewe wanayapuliziaga pafyum na kuyapaka mafuta wigi la bei chee.. Kuna mengine mtaani yanauzwa hadi buku
Sent by anonymous user
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni used [emoji23][emoji23][emoji23] na wananunua uwezi amini..
Kama wanaazimana itakua hilo.. Yaani linafuliwa linaanikwa linachanwa na chanuo saafi linapigwa wese.. Mtoko tayari..
Huko njiami ni mwendo wa kujitingisha nyuma kama bata jike lililotoka kupandwa
Sent by anonymous user
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
She likes being natural
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee Kaka hurumia mbavu zangu.Kuna jaamaa aliwahi kukoment et alikutana na Dada mmoja amevaa hilo wigi sijui La sh ngapi lile daah et alikua akigeuka kushoto wigi bado limebaki kulia halieleweki liende wapi? sasa sijui shida ilikua Ni nini mtusaidie mawigi associate
Sent using Jamii Forums mobile app
Wigi kama kiota cha ndege
Aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si unajua minyege mie nilikuwa nawaza kudinya tu mwishoni ndio namwangalia naona wigi limekaa upande kama kofia la bodaboda
Eti manyoya ya kuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu katika purukushani za kugombania kuingia darasani...alikua anafight sana...wahuni wakavuta wigi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee...huku kichwani huwa Kuna mengi...mtuache jmn na mawigi yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaninah!! shida ni pale wigi likipeperushwa na upepo unakutana na bonge la para "hii nna ushuhida nayo:
Sent using Jamii Forums mobile app
SIPENDI; naona kinyaa hata nikiwa karibu naye ndani ya daladala. Ni kumfanya Mungu kakosea kumpa nywele zake. Wana mapepo kichwani wanatembea nayo; Ni dhambi kumsahihisha Mungu kwamba alikosea , waache huu uchafu. Wachina wanawauzia lakini wenyewe hawavai. Shame/aibuKwanza mwanamke anayevaa wigi kisaikolojia ana matamanio ya kuwa mwanamke anayeakisiwa na wigi alilolivaa, sasa unaanzaje kumfukuzia mwanamke anayetamani kuwa kama mhindi, mzungu au msomali wakati kuna wahindi na wazungu kibao tunabanana nao hapa hapa?..
Uchafu kabisa; sipendi kabisa ; alafu siku hizi yako ya kama mtu aliyewehuka. Cha kushangaza wako walokole nao na hata wake za wachungaji; AIBUUU. Unataka kumsahihisha Mungu kama kakosea. Huwa ni pepo fulani; mengine ni ya watu waliotoa sadaka kwa miungu yao wakiwa wagonjwa au kuondoa mikosi; alafu mtu kaweka kichwaniNi kweli unaweza kabisa comfortably ukawa na mwanamke aliyevaa wigi jamani?
Shame on you guys.
Sent using Jamii Forums mobile app