Original ni nywele za binadamu ambazo nyingi zinatoka Brazil na India
Yaani unauza nywele zako kama ni ndefu kwa makampuni nao huziuza mpaka $3000
Huko Brazil wasichana walikuwa wanatekwa na watu na kunyolewa kwa nguvu na kwenda kuziuza
Sasa wengi wameamua kuzikata kabisa na kubakiza kidogo au nao kuvaa wigi rahisi tu.
Zipo wigs hizi sasa ambazo ni changanyikeni hizo za bei rahisi ambazo zinatengenezwa kutokana na manyoa ya mbuzi
Zina masharti nazo hakikisha mvua isikukute njiani utanuka kama beberu
Sent using
Jamii Forums mobile app