agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Wanashangaza na ukiangalia wao ni wanunuaji wazuri...hahahaNa hawahawa wanaume ndo wa kwanza kuwasifia waliovaa mawigi kwamba wamependeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hawahawa wanaume ndo wa kwanza kuwasifia waliovaa mawigi kwamba wamependeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nasisitiza sana mawigi yanaongeza mapepo kwa wanawake. Angalieni wanaodondoka kwa TBJ
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anausoma uzi huku amevaa wig lazima aupotezee
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaahahhaahahhaHongera dada yangu usingewahiwa ningebook 😛😛😛😛😛😛
Picha tena [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Dah! Nywele ngumu kama katani! Dah! Inabidi uwe na kipindi kabisa mama, ili wenye nywele za kikatani waelimike.
Dah! Halafu kama picha inanijia hivi kama nazijua nywele za kikatani. Ila siyo mbaya uki' drop ka picha.
Hahahahahahaah dooooh[emoji23][emoji23][emoji23]naanzaje kumnunulia mtu wigView attachment 1058960View attachment 1058963
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri! Napenda wenye nywele ndefu. Wahenga wanasema ukimpata mwanamke mwenye nywele ndefu ukazikamata hivi halafu ukazinusa... Mhhhh...haaa!hahajhaa
Kumbe yana bei hvyo! Mi nlijua ni ktu kidichozidi 30k. Swali, je unalitambuaje kuwa hili ni la 500k?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hujawa mnafki.Wigi nayo ni nguo tu kama nguo zingine ni sawa tu nakuvaa kofia kuficha kipara
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri! Napenda wenye nywele ndefu. Wahenga wanasema ukimpata mwanamke mwenye nywele ndefu ukazikamata hivi halafu ukazinusa... Mhhhh...haaa!
Utasema nafwaaa! Unaweza ukajikuta umezibusu pasipo kujua.
Ila awe mwanamke unayemmiliki kihali. Aaahh! Peponi bila kifo nakwambia. Yaani pepo ileeee unaiona.
Unadhani sio kweli? Ukiwa na nywele ndefu na laini ni nzuri. Kipilipili sio kizuri.Wamekua brainwashed kwamba wanawake wenye nywele refu na laini ndio wazuri na wao wenye nywele ngumu za kipipili sio wazuri, mwanamke anapaswa kujiamini na kujikubali jinsi Mungu alivomuumba, kama mzuri ni mzuri tu, unaweza vaa wigi original la laki 5 na bado usivutie.
[emoji23][emoji23][emoji23] anausoma uzi huku amevaa wig lazima aupotezee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza huwezi mzuia mwanamke kujiremba.Ila wanaume bwana unamkataza mke wako kuvaa wigi kwa kigezo cha wewe kutokuyapenda ila unawafata wanawake wanaovaa mawigi as michepuko yako. The same kwa kucha za bandia kope na makeup. Mko na nini nyinyi wababa?
yaan ww kuandika humu ndo imfanye mtu asivae wig[emoji23][emoji23][emoji23]..kisa ni nn hasa