Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Habari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝,
• Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza.
• Atafikisha miaka 35 hivi karibuni, na tumepata watoto wawili pamoja, Lakini ni kwa nini ghafla anaonekana kuzeeka zaidi ya umri huo, ndicho sikielewi.
• Nimeona wanawake na marafiki wa umri wake bado wanavyoendelea kuwa wabunifu na kufuata mtindo wa mitindo ya maisha, lakini mke wangu hafanyi bidii tena kuchukulia mitindo kwa uzito.
• Anavaa nguo yoyote ile, bila kujali tukio. Huenda hamtanielewa kuhusu hili, kwa sababu zamani alikuwa anazingatia haya kabla hatujapata mtoto wetu wa kwanza. Labda tuseme maisha magumu, sikweli, hapitii kwenye mazingira magumu, maisha yetu ni ya kutosha namlisha vizuri kila siku.
• Hivi ni nini kinachoendelea??
• Wanaume mliooa, mnahisi hivi pia kama ninavyohisi mimi?, Namaanisha wale waliooa kwa miaka 5-10 na zaidi.
........ Hadithi ya kijana aliyefunga ndoa miaka 11 iliyopita." 😎.