Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Sure, upo sahihi sana. It's a blessing to grow old na mke wako.
 

๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„,
Hiki ndio kipindi baadhi ya wanaume wanaanza hata kuwa wavivu kuongozana na wake zao wakicheki wife nyonyo zimeshuka, body haieleweki imenenepeana kama pipa hizi mambo bana.
 
Huna lolote umepata chums kipya sasa mkeo umemchoka
 
Mnunulie mkeo mavazi yale unayoyatamani avae pamoja na marashi,matunzo sio chakula tu,mnunulie wewe kile unachopenda avae,mpe hela akasuke nywele nzuri akirudi mwambie avae Ile nguo nzuri uliyomnunulia ,hakuna mwanamke anayependa kuchakaa Ni maisha tu.
 

hakuna mwanamke anayependa kuchakaa Ni maisha tu
Thanks mkuu, wazo zuri sana, ๐Ÿค๐Ÿค
 
Unaongelea dunia ya leo au ya babu zetu ukitaka kuoa na 27 utafute kabinti ka 17yrs kama mke? Kwenye maisha huwezi pata vyote chagua ambavyo ni major factors hizo minor chukulia tu kama changamoto ambazo kila binadamu anazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ