Unajisikiaje ukiandika mada mzuri na yenye maana lakini ukakosa replies.?

Aiseeeee.
Mbaya zaidi, hapa palikuwa hakuna hata like moja.

Reply zipo 10 ila kati hizo 7 ni za mtoa mada, it means walireply 2 tu. 7+2+ post 1= Reply 10.

Pole mkuu, wengine hawataki Jf et kisa watu ni wachoyo wa kutoa like na coment.

Ishi maisha ya ww kama ww pasi kutegemea mtu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…