Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Mm sijasoma sielewi maana ya views
Nawewe huwa unaandika? Angalia viuwa wa siredi zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawewe huwa unaandika? Angalia viuwa wa siredi zako
[emoji23][emoji23][emoji23] Sitaweza mkuu
Sasa umeandikaje views? Au Unanicheka mimi niliyeshindwa na kuandika viuwaMm sijasoma sielewi maana ya views
Maana natisha sura kiaziii
Sasa umeandikaje views? Au Unanicheka mimi niliyeshindwa na kuandika viuwa
Sifa ya kiazi si unajua lkn kikipikwa huwaje[emoji16][emoji16]
Hata mm sijui kama umepatia mi nimecopy ulichoandika tuAaaah kumbe nimepatia
Hata mm sijui kama umepatia mi nimecopy ulichoandika tu
Ngoja sedi pati aje aangalie nani kapatia maana wote hatuelewiMm na wewe nan kapatia
Thread zake huwa zinajaa his own repliesMuulize Gentamycine ndio anajua uchungu wa kukosa replies!
Anaandika kis3nge ila ndio watu hawana time nae kiivyo!
Shida ni mbwembwe kupitiliza!
Duh!Thread zake huwa zinajaa his own replies
Mjini kama huna connection ni tabu jf nako kama huna connection nako kumesha kuwa tabu...
Sisi Watanzania tunapenda sana vitu laini hatupendi tena vitu vya kuumiza kichwa..
🖒🖒Cha msingi angalia views, inaonyesha kuwa mada imesomwa na watu kiasi gani.
Kuna wakati mtu anaandika mada inayogusa unasoma unashindwa hata cha kuandika unaona kama utaharibu.
Alafu sasa mada serious huwa hazipati comments nyingi, hii inaonyesha kuwa wengi humu tunaingia kurefresh zaidi na kujifunza kidogo.
Tupo wengi tunaofanya hvy lkn bd tunaangukia patupuThread ya maana umeandika wapi ikakosa replies? Kama uko chitchat weka thread ya ki chitchat,kama uko MMU weka thread ya mapenzi.
Mbona kwenye siasa kuna thread kibao zina kurasa hadi 100? Mbona hoja na habari mchanganyiko watu wanachangia sana? Ukiandika kitu cha maana jukwaa husika huwezi kukosa wachangiaji. Kitu kikiwa sehemu isiyostahili ni takataka