Unajisikiaje ukiandika mada mzuri na yenye maana lakini ukakosa replies.?

Unajisikiaje ukiandika mada mzuri na yenye maana lakini ukakosa replies.?

Kwani kuna bonus mtu unalipwa ukipata likes na reply za watu usiowajua na wenye feki ID?
 
Watu kuchosha akili hatutaki!
Ndo maana tupo huku kurelax Mkuu...

Hebu fikiria kuanzia meamka saa kumi na moja sijakaa ndo mekaa saivi, jaribu kuwaza akili yangu imechoka kiasi gani!
 
Vile vya ajabu ajabu na hovyo ndiyo hupendwa zaidi...

Vile makini na bora, huwaboa watu...

Cc: mahondaw
 
Thread ya maana umeandika wapi ikakosa replies? Kama uko chitchat weka thread ya ki chitchat,kama uko MMU weka thread ya mapenzi.
Mbona kwenye siasa kuna thread kibao zina kurasa hadi 100? Mbona hoja na habari mchanganyiko watu wanachangia sana? Ukiandika kitu cha maana jukwaa husika huwezi kukosa wachangiaji. Kitu kikiwa sehemu isiyostahili ni takataka
 
Cha msingi angalia views, inaonyesha kuwa mada imesomwa na watu kiasi gani.

Kuna wakati mtu anaandika mada inayogusa unasoma unashindwa hata cha kuandika unaona kama utaharibu.

Alafu sasa mada serious huwa hazipati comments nyingi, hii inaonyesha kuwa wengi humu tunaingia kurefresh zaidi na kujifunza kidogo.
🖒🖒
 
Thread ya maana umeandika wapi ikakosa replies? Kama uko chitchat weka thread ya ki chitchat,kama uko MMU weka thread ya mapenzi.
Mbona kwenye siasa kuna thread kibao zina kurasa hadi 100? Mbona hoja na habari mchanganyiko watu wanachangia sana? Ukiandika kitu cha maana jukwaa husika huwezi kukosa wachangiaji. Kitu kikiwa sehemu isiyostahili ni takataka
Tupo wengi tunaofanya hvy lkn bd tunaangukia patupu
 
Back
Top Bottom