Unajisikiaje ukipewa DISLIKE kwenye comment yako?

Unajisikiaje ukipewa DISLIKE kwenye comment yako?

kwa kweli mi huwa najihoji mara 2 tatu why nipewe 👎

Kuna member kaibuka hapa yeye kila post abagawa Dislike tu sijui roho yake imekaaje kaaje humo ndani😅😅😅

Karibuni kwa Hoja na Love za kutosha mwenzenu nifurahi😍
Najisikia ujumbe umefika barabara na imemchoma kunako nilikotaka.
 
Ww si ke au [emoji848][emoji848], nguvu za kiume hapo vipi,

Hao unaowapa dislike [emoji1787] mimi ke na wala hainiumi kwanza sioni natumia app labda nianze kutumia browser
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji227][emoji227][emoji227][emoji227][emoji227][emoji227] Daaah noma sana mtu wa miaka 30+ anawaza dislikes duuh tz wajinga ni wengi asee

Acha wenzio wanashindwa kujihamini hivyo [emoji1787]
 
🤣🤣🤣🐬🐬🐬🐬🐬🐬 Daaah noma sana mtu wa miaka 30+ anawaza dislikes duuh tz wajinga ni wengi asee
🤣🤣🤣 imebidi niende kwenye browser na mimi nimekutandika dislike
 
Huwa naona sawa tu, sichukulii chochote personal, najua niko kwenye jukwaa lenye watu wenye mitazamo tofauti, na mawazo yangu si sheria.
 
ndio maana ikawekwa hiyo dislike ili itumie
:-kunanmtu atadislike hii comment yangu[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom