akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Najisikia ujumbe umefika barabara na imemchoma kunako nilikotaka.kwa kweli mi huwa najihoji mara 2 tatu why nipewe π
Kuna member kaibuka hapa yeye kila post abagawa Dislike tu sijui roho yake imekaaje kaaje humo ndaniπ π π
Karibuni kwa Hoja na Love za kutosha mwenzenu nifurahiπ
Ww si ke au [emoji848][emoji848], nguvu za kiume hapo vipi,
π€£π€£π€£π¬π¬π¬π¬π¬π¬ Daaah noma sana mtu wa miaka 30+ anawaza dislikes duuh tz wajinga ni wengi aseeHao unaowapa dislike [emoji1787] mimi ke na wala hainiumi kwanza sioni natumia app labda nianze kutumia browser
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji227][emoji227][emoji227][emoji227][emoji227][emoji227] Daaah noma sana mtu wa miaka 30+ anawaza dislikes duuh tz wajinga ni wengi asee
π€£π€£π€£ imebidi niende kwenye browser na mimi nimekutandika dislikeπ€£π€£π€£π¬π¬π¬π¬π¬π¬ Daaah noma sana mtu wa miaka 30+ anawaza dislikes duuh tz wajinga ni wengi asee
π π πππ Ewaaah hapo sawa sasaπ€£π€£π€£ imebidi niende kwenye browser na mimi nimekutandika dislike
Ila siwezi narudi kwenye app iko vizuri wewe endelea kusambaza dislike ππ€£π€£π π πππ Ewaaah hapo sawa sasa
Acha ushamba mkuu,Mbona kwangu hakuna hiyo dislike button
Acha ushamba mkuu,
Subili anakujaMbona kwangu hakuna hiyo dislike button
Lipi hilo tena mkuu, πMwamba tuende kwenye jukwaa letu [emoji23]
Lipi hilo tena mkuu, [emoji38]
Embu nitajie jina nimelisahau mkuu,La bebez [emoji1787]
Embu nitajie jina nimelisahau mkuu,
Oooh sawa sawa mkuuLa kutupia picha [emoji23]
Shukran ππHuwa naona sawa tu, sichukulii chochote personal, najua niko kwenye jukwaa lenye watu wenye mitazamo tofauti, na mawazo yangu si sheria.