Unajisikie au unamtafisiri vipi mtu huyu?

Kuna mwingine angekuuliza... Kwani ana Figo yako? Ila mimi sioni kama nikuulize hivyo maana sio swali zuri..
Mwingine labda angetaka kufahamu kwani huyo mtu ni nani yako yaani mna mahusiano gani🤔... Huyu hata mimi namuunga mkono
 
Rafiki yangu
 
Et jaman mtu unamtumia txt anaku blue tik anakaa kimya unamchukuliaje? Sipendezewi na hii tabia
Anatafakari cha kukujibu asikuudhi, na hivyo inaweza chukua hadi siku mbili ndio akujibu. Jitahidi kuwa mstahimilivu
 
Siwez nishafyta na namba zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…