Unajisikie au unamtafisiri vipi mtu huyu?

Unajisikie au unamtafisiri vipi mtu huyu?

Kuna lishibombo moja nilikua naliona lina akili mara ghafla nashangaa ujumbe eti " Na penzi letu kama summa na ulinzi kama summa'.Sijajibu mpaka leo .Niliona nadeal na box hapa.
😂😂😂
 
Et jaman mtu unamtumia txt anaku blue tik anakaa kimya unamchukuliaje? Sipendezewi na hii tabia
Wacha nongwa, si mpigie mwenyewe. Si lazima mtu ajibu kila msg. Msg zingine ni za information tu siyo za kujibiwa, na hizo blue tick zinakuonesha ujumbe umefika. Unataka nini zaidi?


Kwa post kama hizi nazidisha kumuamini Dhahabu Nyeusi kuwa Waafrika tu wajinga: Bofya chini hapo, ujionee tulivyo wajinga:

 
Na ukiendelea na hii tabia watakutia nyavuni tu,mwanaume fanya kazi acha UTAPELI
 
Back
Top Bottom