Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

vifurushi vya halotel vya 200 kwa siku mb 100.alaf napewa ofa ya gb 2.nikijiunga mitandao yote kwa 200 napewa ofa dakika 700 buree.nikijiunga siku bando la sms la sh 50.napewa ofa sms 36,000.ila ni ndani ya saa 24
 
Yamenikuta Leo wakati najiunga TIGO. Mnunulie rafiki yako , elf 20 wameandika utapata 10GB kwa mwezi. Nimejitosa kununua nimeambulia kupata 6.5GB kwa mwezi.
Najuta kwa haya maamuzi niliyoyafanya
Hizo nyingine zimekatwa kulipia kodi ya jengo, utakuwa ulikuwa nje ya nchi.
 
vifurushi vya halotel vya 200 kwa siku mb 100.alaf napewa ofa ya gb 2.nikijiunga mitandao yote kwa 200 napewa ofa dakika 700 buree.nikijiunga siku bando la sms la sh 50.napewa ofa sms 36,000.ila ni ndani ya saa 24
Sms 36,000! Nitajiunga sasa hivi, hii nitaitumia kama fursa.
 
Nasajili line ya halotel kwa sh 5000 na napewa ofa ya GB 12,Dk 600,SMS mwezi mzima!
Mwezi ukiisha natupa line na kwenda kusajili nyingine kwa utaratibu huo huo!

Hapo vipi???
 
Ivi c nasikia kuna mtandao mpya wa Azam au?
 
Screenshot_20211002-083529.jpg

Hawa Voda, Nahisi siku sio nyingi nao watabadilisha.
 
Back
Top Bottom