D
Eeh mkuu hii ni ngoma ya kudandia! Hata mimi naona hizo 'bikra' si rahisi kupata, kila mtu ana historia yake, usijali sana. Ndoa si suala la kutafuta mtu 'asijatumike', ni suala la kuelewana na kusalimiana na maisha. Mchongo huo wa shela jeupe umenimaliza 🤣 umemwaga
Kuandika hizo pumba kila siku zidi ya wanawake hautopata nafuu yoyote ya maumivu uliyopitia kwenye relationship zako huko nyuma
You pretend to be giving advice to your fellow men, but you do so in a deeply degrading and disrespectful way toward women
Shame on you Natafuta Ajira
Mambo mengine kujitafutia presha tu, mtoa mada utakuja kuoa kweli wewe 🤣🤣🤣
Wewe hauini shida kuoa used, lakini kuna mwingine kwake hicho ni kipengere, na sio kweli sababu ni umimi. Zipo sababu nyingi sana za kiroho, kijamii na kisaikolojia.
Kiroho mwanamke ambaye umekutana nae ashatumika hawezi kuwa mke wako. Katikaulimwengu wa kiroho uyo ni mke wa mwanaume aliemtoa bikira
Kijamii mkeo ni kiwakilishi cha heshima utakayopewa, na hakuna mwanaume anaweza kukuheshima ikiwa anaujua uchi wa mkeo, vilevile katika jamii inayojua mkeo kagongwa na fulani na fulani lazima heshima yako itashuka.
Kisaikolojia mwanamke ambaye ashatumika anakuja na comparisons zinazotakana na kumbukumbu za maex wake. Kwahiyo hawezi kuwa na utulivu wa kihisia vilevile uwezo wake wa kujenga bond lazima uwe hafifu hapo
Tuko kwenye dunia ya vitu used
Inawezekana ni kweli, vipi we ni mwanamke na utawaalika wote walokufanya hivyo ili mumeo wamjue ?Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga
Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili kabla ya harusi walipiga game ya kuagana. Baada ya game, mkeo akalala ubavuni mwa muhuni anapapasa kifua huku taratibu kwa sauti ya kudeka akimwambia "mimi naoelewa tu kwa sababu wazazi wamenilazimisha lakini wewe ndo mwanaume ninaekupenda".
Sasa hao wanaume wote hapo juu mkeo atawaalika harusini au kuna namna atafanya taarifa ziwafikie, na kuna ambao watakuwepo ukumbini.
Nataka nikwambie kitu kama ulikua haujui. Kadili mwanamke anavyotumika ndivyo atataka habari za harusi yake zisambae zaidi. Kwanini? kwa sababu hiyo harusi kwake ni jukwaa la kuwashushua wanaume wote waliom-dump na mashoga zake waliosema haolewi kwa sababu wanajua makandokando yake.
The more experienced she is the louder the ceremony. The purer she is the simpler her wedding dreams.
She is not celebrating a man, she is flexing her past. "see? i got married after all". That's a message she is trying to send.
Wewe? Utakua haujui chochote upo pale mbele umevaa suti yako unacheka cheka tu kama tahira.
Don’t be a simp
Again for all man that's as not belong in marriageUmekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga
Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili kabla ya harusi walipiga game ya kuagana. Baada ya game, mkeo akalala ubavuni mwa muhuni anapapasa kifua huku taratibu kwa sauti ya kudeka akimwambia "mimi naoelewa tu kwa sababu wazazi wamenilazimisha lakini wewe ndo mwanaume ninaekupenda".
Sasa hao wanaume wote hapo juu mkeo atawaalika harusini au kuna namna atafanya taarifa ziwafikie, na kuna ambao watakuwepo ukumbini.
Nataka nikwambie kitu kama ulikua haujui. Kadili mwanamke anavyotumika ndivyo atataka habari za harusi yake zisambae zaidi. Kwanini? kwa sababu hiyo harusi kwake ni jukwaa la kuwashushua wanaume wote waliom-dump na mashoga zake waliosema haolewi kwa sababu wanajua makandokando yake.
The more experienced she is the louder the ceremony. The purer she is the simpler her wedding dreams.
She is not celebrating a man, she is flexing her past. "see? i got married after all". That's a message she is trying to send.
Wewe? Utakua haujui chochote upo pale mbele umevaa suti yako unacheka cheka tu kama tahira.
Don’t be a simp
Hii ni hasira Kali sanaInaweza kuonekana kuwa ni kebehi lakini ki ukweli kuoa mwanamke ambaye ameshaondolewa usichana wake ni sawa na kula chakula alichobakisha mtu mwingine ( MAKOMBO).....
Labda iwe alishawahi kuolewa then wakashindwana na mwenzake kwa kuwa NDOA ni jambo la heshima....lakini sio mtu amepuyanga na wanaume kadhaa ambao wamevunja mlango kihuni alafu unaletewa unakuja kubebeshwa mzigo wa mahari......
Ndio hivyo tu kwa kuwa dunia imeshakuwa ya kishenzi lakini kimsingi kununua bidhaa ya mtumba kwa bei ya mpya ni utapeli....
Imagine Mungu amemuumba mwanamke kwa heshima na akamuwekea kufuli kwa heshima ya mumewe na jamii yake kwa ujumla... lakini kufuli linavunjwa kihuni huku mume anakuja kula makombo
Hoja ni nzuri mkuu , ila huwa najaribu kufikiria na upande wetu wa pili, ni wangapi tunatoka nao kama , lakini wale tunaotaka wawe wetu hatutaki waguswe.Wewe hauini shida kuoa used, lakini kuna mwingine kwake hicho ni kipengere, na sio kweli sababu ni umimi. Zipo sababu nyingi sana za kiroho, kijamii na kisaikolojia.
Kiroho mwanamke ambaye umekutana nae ashatumika hawezi kuwa mke wako. Katikaulimwengu wa kiroho uyo ni mke wa mwanaume aliemtoa bikira
Kijamii mkeo ni kiwakilishi cha heshima utakayopewa, na hakuna mwanaume anaweza kukuheshima ikiwa anaujua uchi wa mkeo, vilevile katika jamii inayojua mkeo kagongwa na fulani na fulani lazima heshima yako itashuka.
Kisaikolojia mwanamke ambaye ashatumika anakuja na comparisons zinazotakana na kumbukumbu za maex wake. Kwahiyo hawezi kuwa na utulivu wa kihisia vilevile uwezo wake wa kujenga bond lazima uwe hafifu hapo
Agenda ambazo haziapply kwenye real life ndio ziniumize mimi🙆🏽♀️poleni hivi ni vikao vya wanaume unaposhiriki jiandae kuumia ajenda ni kali hakuna kununua mtumba
wew unavaaga nguo za mtumba?Agenda ambazo haziapply kwenye real life ndio ziniumize mimi
Sana tuwew unavaaga nguo za mtumba?
nguo unavaa lakini huwezi kumeza matapishi waliotema wenzakoSana tu
Vina husiana vipi hapo?🚮nguo unavaa lakini huwezi kumeza matapishi waliotema wenzako