American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 902
- 1,545
Eeh mzee hii story iko na ukweli mwingi bana. Watu wengi wanakimbia siku za nyuma za wenzao lakini nao wenyewe wana baggage zao. Hata wewe mwenyewe ukiangalia nyuma, je wewe ulikuwa bikra? Haha niache hiyo. Lakini kweli hapa bongo kupata mtu 'safe' ni kama kupata tiketi ya kwenda moon. Wote tumetumika na maisha, ni suala la kukubaliana na kuendelea. Mimi naona sio vibaya kama mtu ana historia, ila ni vibaya kama anaendelea kuishi historia hiyo wakati ameoa. Binafsi mimi naona watu wanaozungumzia mabikra ndio wale ambao nao hawana lolote la kujivunia. Ukianza kuchimba utapata kila mtu ana mzigo wake. Poa tu tupendane kwa ukweli, sio kwa historia..