American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 902
- 1,545
Ni ngumuuuu ila kwa fikra tunduizi ndiyo hali ilivyo sasa.Mimi kitu ambacho hakinipi shida ni kusikia mke ama mpenzi amefanya ngono na nani.
Sex ni hitaji la kibinadamu linahusisha pia saikolojia hisia na akili.
Mtu anatakiwa kuwa huru anapofanya mapenzi.
Kinacho tupa shida ni ubinafsina umimi.
Kwamba ni mimi tu nastahili hata kama hilo stahili halitokani na mimi.
binti wahuni wanamgeuza kuwa shimo la taka kila uchafu wanamtupia alaf ety nije nioe ni sawa na kula matapishiVina husiana vipi hapo?
Kinachosababisha wanawake kuwa used ni sisi wanaume, tunavopiga na kuacha makusudi, hao tunaowaacha nani awaoe?, wanaume wote tukiamua kufunga zipu hadi ndoa, bikra tutakutana nazo sana tu Natafuta AjiraWewe hauini shida kuoa used, lakini kuna mwingine kwake hicho ni kipengere, na sio kweli sababu ni umimi. Zipo sababu nyingi sana za kiroho, kijamii na kisaikolojia.
Kiroho mwanamke ambaye umekutana nae ashatumika hawezi kuwa mke wako. Katikaulimwengu wa kiroho uyo ni mke wa mwanaume aliemtoa bikira
Kijamii mkeo ni kiwakilishi cha heshima utakayopewa, na hakuna mwanaume anaweza kukuheshima ikiwa anaujua uchi wa mkeo, vilevile katika jamii inayojua mkeo kagongwa na fulani na fulani lazima heshima yako itashuka.
Kisaikolojia mwanamke ambaye ashatumika anakuja na comparisons zinazotakana na kumbukumbu za maex wake. Kwahiyo hawezi kuwa na utulivu wa kihisia vilevile uwezo wake wa kujenga bond lazima uwe hafifu hapo
mtu aliyeumizwa sana upendo kwake ni hadithi tuEeh mzee hii story iko na ukweli mwingi bana. Watu wengi wanakimbia siku za nyuma za wenzao lakini nao wenyewe wana baggage zao. Hata wewe mwenyewe ukiangalia nyuma, je wewe ulikuwa bikra? Haha niache hiyo. Lakini kweli hapa bongo kupata mtu 'safe' ni kama kupata tiketi ya kwenda moon. Wote tumetumika na maisha, ni suala la kukubaliana na kuendelea. Mimi naona sio vibaya kama mtu ana historia, ila ni vibaya kama anaendelea kuishi historia hiyo wakati ameoa. Binafsi mimi naona watu wanaozungumzia mabikra ndio wale ambao nao hawana lolote la kujivunia. Ukianza kuchimba utapata kila mtu ana mzigo wake. Poa tu tupendane kwa ukweli, sio kwa historia..
hahaa mkuu,Mambo mengine kujitafutia presha tu, mtoa mada utakuja kuoa kweli wewe 🤣🤣🤣
Angekuwa hajaoa tungemwambia asitukane mamba kabla hajavuka mto ila kwa sababu tayari ngoja tumuache tuhahaa mkuu,
mleta mada ameoa mmbulu
haya mambo haya
Maisha yako hayawezi kufanana na ya mtu mwingine, uchungu ni wanini? katafute binti msafi oa, simple maths!binti wahuni wanamgeuza kuwa shimo la taka kila uchafu wanamtupia alaf ety nije nioe ni sawa na kula matapishi
Nakukubaligi sana hujui tu! Wanajiandikia as if tunajitia midizi wenyewe!Kinachosababisha wanawake kuwa used ni sisi wanaume, tunavopiga na kuacha makusudi, hao tunaowaacha nani awaoe?, wanaume wote tukiamua kufunga zipu hadi ndoa, bikra tutakutana nazo sana tu Natafuta Ajira
Ipi hiyo kati yaWe Matako wazi njoo uandike hapa ile motto yako isiyofanya kazi kwenye maisha yako😅
H nimeifumania kabla hujabadili jina 😂We Matako wazi njoo uandike hapa ile motto yako isiyofanya kazi kwenye maisha yako😅
Members wenye picha ya Putin kwenye profiles zao ndiyo wanaongoza kuandika maudhui ya ngono hapa jukwaani wakati role model wao hata demu hana.Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga
Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili kabla ya harusi walipiga game ya kuagana. Baada ya game, mkeo akalala ubavuni mwa muhuni anapapasa kifua huku taratibu kwa sauti ya kudeka akimwambia "mimi naoelewa tu kwa sababu wazazi wamenilazimisha lakini wewe ndo mwanaume ninaekupenda".
Sasa hao wanaume wote hapo juu mkeo atawaalika harusini au kuna namna atafanya taarifa ziwafikie, na kuna ambao watakuwepo ukumbini.
Nataka nikwambie kitu kama ulikua haujui. Kadili mwanamke anavyotumika ndivyo atataka habari za harusi yake zisambae zaidi. Kwanini? kwa sababu hiyo harusi kwake ni jukwaa la kuwashushua wanaume wote waliom-dump na mashoga zake waliosema haolewi kwa sababu wanajua makandokando yake.
The more experienced she is the louder the ceremony. The purer she is the simpler her wedding dreams.
She is not celebrating a man, she is flexing her past. "see? i got married after all". That's a message she is trying to send.
Wewe? Utakua haujui chochote upo pale mbele umevaa suti yako unacheka cheka tu kama tahira.
Don’t be a simp
Kwamba wanawake wote…Ipi hiyo kati ya
1. Kamsemee kwa babaake
2. Inasikitisha sana
3. Weka humu 🗑️
Anyway, mm naona jamaa ameandika ukweli.
Kuna demu aliwahi kuniambia nikimuoa anataka harusi kubwa ili watu wote wajue, sasa akina nani hao wajue?
Sheinzzz🤣H nimeifumania kabla hujabadili jina 😂