Kuna kitu nimekitafakari katika betting
Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa na wengine tunatumia ushabiki mkubwa
Wengine record za timu na wengine matokeo ya timu
Lakini ukweli ni kuwa tukitaka kufanikiwa katika beating
Haya ndo mambo muhimu ya kuangalia sana kwenye asilimia 100 ya kufanikiwa tunaweza kuwa na asilimia 90%
1 kuangalia matokeo ya mechi
5 za mwisho
2 angalia 5 tano zidi ya timu kubwa kama ni timu ndogo
3 Uwezo wa defanse wao na hili kujua uwezo wa defanse wa timu pinzani angalia tu last five match angalia imeruhusu goals mara ngapi hapo utapata uwezo wao binafsi na
4 cha muhimu zaidi angalia
Total shoot ambazo wanapiga zidi ya timu pinzani
Shoot muhimu zaidi ni Intigeti
Insidbox
Outbox
Blocked shoot
Na goli wanazalisha katika kila mechi
Tukiweza hivi tutakuwa na uwezo wa kupata matokeo mazuri