Unajua kuwa unaweza kujenga nyumba nzuri ya kisasa kwa gharama nafuu?

moshabani99

New Member
Joined
Feb 14, 2023
Posts
3
Reaction score
0
Watu wengi wamekuwa wakiogopa kujenga nyumba kwa kuhofia gharama za mafundi kuwa kubwa na hata nyumba yenyewe, nimekuletea mpango mzima wa kujenga nyumba kwa tofali

Nikisema hivi namaanisha kuwa yaani fundi utamlipa kwa kila tofali moja bei mtakayokubaliana kwa hiyo utakuta tayari unasave pesa yako.

Nimekuletea hili tangazo share kwa wengine watimize malengo yao.
 
Hapo lazima wewe mwenyewe uwe fundi vinginevyo utakwama
 
Mbona siku zote tunalipa mafundi kwa tofauli? Wewe moango wako ukoje, funguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…