sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Watu wanaishi maisha yasiyo yao, yaani ya chini na wasiyostahili na baada ya muda wanayazoea na kuona ndio maisha yao halisi ilhali sio kweli.
Unakuta mtu huyo alikuwa na mafanikio kielimu, kikazi, kiuchumi lakini ghafla tu akaanza kushuka na kuporomoka kabisa katika kila nyanja na wengine wakaishia kujiua kabisa kwa kushindwa kukubali hali mpya waliyonayo kimaisha. Wengine wanataabika na kuamua kuridhika na hali waliyonayo wanaishi kimaskini kabisa.
Mimi binafsi Nilikuwa nimefungwa kiuchumi, kimafanikio na kupotezewa dira ya maisha kwa zaidi ya miaka 4; kila jambo nikifanya lilikuwa haliendi. Nilianza kukata tamaa, na kujiona mtu nisiyeheshimika na kunyanyapaliwa.
Siku moja ya ajabu nilijisikia msukumo kuwa nihudhurie ibada iliyokuwa inafanyika jirani na mahali ninapoishi, nilikwenda kinyonge tu, ila nilipofika kila kitu kilibadilika kuanzia sekunde ile niliyogusa mahali pale.
Mbeba maono wa Mungu, Onalina Senzigo ambaye ni kiongozi wa huduma ile aliniita na kunitajia mambo yahusuyo maisha yangu, nilistaajabu sana kwa kuwa sikuwa nikifahamiana nae. Amewezaje kuona mambo yangu yanayonitafuna??
Aliniambia namna nyota yangu ilivyofungwa na kibali changu kutumiwa na wengine. Kipimo kilikuwa ni mimi vs mimi, yaani mimi nijipime mafanikio yangu siku za nyuma na nijipime nilivyo sasa nione kama ninakwenda mbele au ninarudi nyuma. Kama ninarudi nyuma je nini kilichotokea, nini kilichobadilika mpaka sifanikiwi?
Itoshe kusema kuwa kwa kipindi kifupi sana, nimeona mambo ya kutisha ya Mungu. Nimepata majibu kwa mambo yangu kwa muda mfupi ambao sikutegemea. Nimeng'aa na kuwaka kama nuru ya taa.
Nami napenda na wengine wenye shida wapate kufunguliwa na kurejeshewa maisha yao Mungu aliyowaandalia. Nyota na vibali vyao virejeshwe maradufu. Usikubali Shetani akuchezee atakavyo na kukuharibia maisha uliyopangiwa na Mungu, sio mpango wa Mungu watu kuishi maisha duni ya dhiki.
Tumepata neema ya kufanya kongamano maalum la maombi na Injili litalofanyika Kibamba Hondogo - Dar es Salaam kuanzia tarehe 26/04 mpaka 30/04/2023. Njoo uuone ukuu wa Mungu katika maisha yako bila kujali dini au dhehebu lako. Hakuna gharama yoyote ya kushiriki na wala hakuna habari za kuuziana maji au mafuta nk
Mpinge shetani naye atakukimbia na pia usiende kanisani na kurudi kama ulivyoenda (bila mabadiliko), usisali kwa mazoea. Sali na uone majibu ya sala zako.
Karibu ufunguliwe na kutatuliwa shida zako;
Pia unaweza kuwasiliana moja kwa moja na mbeba maono / Nabii kwa namba 0658180423 au 0769232718.