Unajua kuwa watu wengi wanaishi maisha yasiyo yao kwa kunyang'anywa nyota na vibali vyao?

sajo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
3,474
Reaction score
6,195
Watu wanaishi maisha yasiyo yao, yaani ya chini na wasiyostahili na baada ya muda wanayazoea na kuona ndio maisha yao halisi ilhali sio kweli.

Unakuta mtu huyo alikuwa na mafanikio kielimu, kikazi, kiuchumi lakini ghafla tu akaanza kushuka na kuporomoka kabisa katika kila nyanja na wengine wakaishia kujiua kabisa kwa kushindwa kukubali hali mpya waliyonayo kimaisha. Wengine wanataabika na kuamua kuridhika na hali waliyonayo wanaishi kimaskini kabisa.

Mimi binafsi Nilikuwa nimefungwa kiuchumi, kimafanikio na kupotezewa dira ya maisha kwa zaidi ya miaka 4; kila jambo nikifanya lilikuwa haliendi. Nilianza kukata tamaa, na kujiona mtu nisiyeheshimika na kunyanyapaliwa.

Siku moja ya ajabu nilijisikia msukumo kuwa nihudhurie ibada iliyokuwa inafanyika jirani na mahali ninapoishi, nilikwenda kinyonge tu, ila nilipofika kila kitu kilibadilika kuanzia sekunde ile niliyogusa mahali pale.

Mbeba maono wa Mungu, Onalina Senzigo ambaye ni kiongozi wa huduma ile aliniita na kunitajia mambo yahusuyo maisha yangu, nilistaajabu sana kwa kuwa sikuwa nikifahamiana nae. Amewezaje kuona mambo yangu yanayonitafuna??

Aliniambia namna nyota yangu ilivyofungwa na kibali changu kutumiwa na wengine. Kipimo kilikuwa ni mimi vs mimi, yaani mimi nijipime mafanikio yangu siku za nyuma na nijipime nilivyo sasa nione kama ninakwenda mbele au ninarudi nyuma. Kama ninarudi nyuma je nini kilichotokea, nini kilichobadilika mpaka sifanikiwi?

Itoshe kusema kuwa kwa kipindi kifupi sana, nimeona mambo ya kutisha ya Mungu. Nimepata majibu kwa mambo yangu kwa muda mfupi ambao sikutegemea. Nimeng'aa na kuwaka kama nuru ya taa.

Nami napenda na wengine wenye shida wapate kufunguliwa na kurejeshewa maisha yao Mungu aliyowaandalia. Nyota na vibali vyao virejeshwe maradufu. Usikubali Shetani akuchezee atakavyo na kukuharibia maisha uliyopangiwa na Mungu, sio mpango wa Mungu watu kuishi maisha duni ya dhiki.

Tumepata neema ya kufanya kongamano maalum la maombi na Injili litalofanyika Kibamba Hondogo - Dar es Salaam kuanzia tarehe 26/04 mpaka 30/04/2023. Njoo uuone ukuu wa Mungu katika maisha yako bila kujali dini au dhehebu lako. Hakuna gharama yoyote ya kushiriki na wala hakuna habari za kuuziana maji au mafuta nk

Mpinge shetani naye atakukimbia na pia usiende kanisani na kurudi kama ulivyoenda (bila mabadiliko), usisali kwa mazoea. Sali na uone majibu ya sala zako.

Karibu ufunguliwe na kutatuliwa shida zako;

Pia unaweza kuwasiliana moja kwa moja na mbeba maono / Nabii kwa namba 0658180423 au 0769232718.

IMG-20230418-WA0000.jpg
 
Kinachotusumbua wengi nida wakujibiwa maombi, wengi tunapenda majibu ya haraka, I can't so long.
Ni kweli mkuu. Wengi wanataka/tunataka miujiza na sio kumjua Mungu.

Kwa hiyo mtu anataka aombewe na sio afundishwe kweli ya Yesu na namna ya kujiombea yeye mwenyewe. Matokeo ya kutaka miujiza ndiyo yanafanya watu wauziwe 'bidhaa' makanisani.
 
Wengine tunaamini katika Qadar, hivyo tunapotetereka humuomba Mungu, (sio kuombewa na Binaadam mwenzio) atufanyie wepesi katika mitihani

Na kama kuna mkono wa mtu basi mwenyewe Mwenyezi Mungu Atajua A-deal nae vipi.
 
Kuombewa na mtu si jambo geni wala baya, ikiwa anayeombwa ni Mungu wa Yakobo na Eliya.

Biblia inasema hivi katika Hesabu 12:6,

Kisha akawaambia, Sikizeni basi maneno yangu; Akiwapo nabii kati yenu, Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono, Nitasema naye katika ndoto.
 
Nabii ndio nani? Zama hizi tunazoishi mimi na wewe kuna manabii?
 
Et mbeba maono, utapeli wenu mmeona muulete Jf?
Maandiko ya Mungu katika Hesabu 12:6 yanatuambia juu ya uwepo wa manabii au wabeba maono.

Sisi tunawakaribisha wote wenye uhitaji na kufunguliwa vifungo vya maisha yao kufika kwenye kongamano, lakini hatuwalazimishi, kwani kumfahamu Mungu ni juu ya mtu binafsi na ni kwa hiyari yake.
 
Nabii ndio nani? Zama hizi tunazoishi mimi na wewe kuna manabii?
Nabii ni mjumbe wa Mungu. Hata katika zama hizi tunazoishi mimi na wewe bado kuna manabii, na wataendelea kuwepo mpaka pale Mungu atakapokuwa hana mahusiano na mwanadamu.
 
Watu wanaishi maisha yasiyo yao, yaani ya chini na wasiyostahili na baada ya muda wanayazoea na kuona ndio maisha yao halisi ilhali sio kweli.

Unakuta mtu huyo alikuwa na mafanikio kielimu, kikazi, kiuchumi lakini ghafla tu akaanza kushuka na kuporomoka kabisa katika kila nyanja na wengine wakaishia kujiua kabisa kwa kushindwa kukubali hali mpya waliyonayo kimaisha. Wengine wanataabika na kuamua kuridhika na hali waliyonayo wanaishi kimaskini kabisa.

Mimi binafsi Nilikuwa nimefungwa kiuchumi, kimafanikio na kupotezewa dira ya maisha kwa zaidi ya miaka 4; kila jambo nikifanya lilikuwa haliendi. Nilianza kukata tamaa, na kujiona mtu nisiyeheshimika na kunyanyapaliwa.

Siku moja ya ajabu nilijisikia msukumo kuwa nihudhurie ibada iliyokuwa inafanyika jirani na mahali ninapoishi, nilikwenda kinyonge tu, ila nilipofika kila kitu kilibadilika kuanzia sekunde ile niliyogusa mahali pale.

Mbeba maono wa Mungu, Onalina Senzigo ambaye ni kiongozi wa huduma ile aliniita na kunitajia mambo yahusuyo maisha yangu, nilistaajabu sana kwa kuwa sikuwa nikifahamiana nae. Amewezaje kuona mambo yangu yanayonitafuna??

Aliniambia namna nyota yangu ilivyofungwa na kibali changu kutumiwa na wengine. Kipimo kilikuwa ni mimi vs mimi, yaani mimi nijipime mafanikio yangu siku za nyuma na nijipime nilivyo sasa nione kama ninakwenda mbele au ninarudi nyuma. Kama ninarudi nyuma je nini kilichotokea, nini kilichobadilika mpaka sifanikiwi?

Itoshe kusema kuwa kwa kipindi kifupi sana, nimeona mambo ya kutisha ya Mungu. Nimepata majibu kwa mambo yangu kwa muda mfupi ambao sikutegemea. Nimeng'aa na kuwaka kama nuru ya taa.

Nami napenda na wengine wenye shida wapate kufunguliwa na kurejeshewa maisha yao Mungu aliyowaandalia. Nyota na vibali vyao virejeshwe maradufu. Usikubali Shetani akuchezee atakavyo na kukuharibia maisha uliyopangiwa na Mungu, sio mpango wa Mungu watu kuishi maisha duni ya dhiki.

Tumepata neema ya kufanya kongamano maalum la maombi na Injili litalofanyika Kibamba Hondogo - Dar es Salaam kuanzia tarehe 26/04 mpaka 30/04/2023. Njoo uuone ukuu wa Mungu katika maisha yako bila kujali dini au dhehebu lako. Hakuna gharama yoyote ya kushiriki na wala hakuna habari za kuuziana maji au mafuta nk

Mpinge shetani naye atakukimbia na pia usiende kanisani na kurudi kama ulivyoenda (bila mabadiliko), usisali kwa mazoea. Sali na uone majibu ya sala zako.

Karibu ufunguliwe na kutatuliwa shida zako;

Pia unaweza kuwasiliana moja kwa moja na mbeba maono / Nabii kwa namba 0658180423 au 0769232718.

View attachment 2596866
Hizi propaganda kama za kubet tu,hakuna la maana,kila mtu anayejiita mchungaji anakuja na mauza uza yake Ili kuvutia watu,
Badala ya kutumia akili zenu kubuni shughuri za kiuchumi na kutoa ajira,nyie mnaleta upuuzi huu Ili mpste sadaka za watu,
 
Back
Top Bottom