Actualy wanawapenda sababu most of the ni nice guy, so ni rahis kupenyeza agenda zao bila kupata usumbufuWanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi
Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
Nimecheka mkuu maana umeongea ukweli kuna mchungaji alisema mke wake anamletea vitimbwi anajua hatamuacha au kuchepuka na saa ingine hata unyumba haupatiπ π πWanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi
Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
Ni mateso mkuu anakunyima kwakuwa anajua huwezi kuwa na mpango kandoNimecheka mkuu maana umeongea ukweli kuna mchungaji alisema mke wake anamletea vitimbwi anajua hatamuacha au kuchepuka na saa ingine hata unyumba haupatiπ π π
ππππ dahNenda jukwaa la love connect kila manzi anataka mwenye hofu ya Mungu