Unajua kwanini wanawake wanapenda wanaume wachaMungu?

Unajua kwanini wanawake wanapenda wanaume wachaMungu?

Ingia majukwaa ya love connect ujionee wanataka mwenye hofu ya Mungu
Hao kwenye mjukwaa wengi ni dk za jioni, ila huku mtaani, mabinti kwenye ubora wao 17-25,target yao ni wahuni, playboy na waume za watu.
 
Hao kwenye mjukwaa wengi ni dk za jioni, ila huku mtaani, mabinti kwenye ubora wao 17-25,target yao ni wahuni, playboy na waume za watu.
Hao wavaa vijora watoto wa vigodoro
 
Niko hapa kijana mtulivu, saa hizi naenda Evening Mass, st Joseph hapo, nikitoka nasali kwenye chapel, nipate mke mwema!
 
Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi

Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
Hiyo kweli Ili umpgie magoti na akutawale Kwa kutumia papuchi!!

Nine by pass huo mtego aiseh namshukuru mungu!!
 
Wacha Mungu wanao au kuolewa na Wacha Mungu kama wao!
Sasa wewe Mwanamke asiye Mcha Mungu anaolewaje na Mcha Mungu?
Hats kama mimi ni mchamungu na nimeoa mchamungu ndio aninyime unyumba? Au kisa siwezi chepuka
 
Back
Top Bottom