Unajua kwanini wanawake wanapenda wanaume wachaMungu?

Unajua kwanini wanawake wanapenda wanaume wachaMungu?

Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi

Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
Kuna wale wanashona sare za vitenge 🤣🤣🤣🤣
 
Acha uongo, tunawapenda yani tunawapenda hadi sio poa.

Ukilipenda ua; utalimwagilizia lizidi kuchanua. Ila ukilitamani ua, basi utalichuma ukae nalo ili shina na mizizi ife.

Mkuu, wanawake hutamani kile walichonacho wanaume na hukitumbua mpaka mwanaume anabaki mtupu. Anazeeka kwa upweke na ukiwa. Mwishowe hufa.

Wanaume walioshtuka mapema huwaepuka kwa namna yoyote.
 
Back
Top Bottom