Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Haina mwisho, yani always kuna namba kubwa zaidi mbele...Mfano hizi namba 1, 2, 3, 4 hazina mwisho...Maana hata ukisema ya mwisho ni 100000000000000000000000000000000000 mimi ntakuambia ongezea moja hapo na bado itaendelea tu.
Kasome ishu ya Entropy na Second law of Thermodynamics.

Unajua kwanza maana ya Infinity kijana ? Isiwe unajadili tu, katika hesabu hakuna kisicho mwisho.

Mwisho wake hizo namba ni wapi na kama hazina mwisho umejuaje hazina mwisho ?

Kingine uwe unajibu maswali ninayo uuliza.
 
Aliye tuwekea hii imani ndani ya mioyo yetu ni nani??

Kama ni Mungu mwenyewe mbona kaweka imani tofauti tofauti baina ya watu kuna wenye imani za kikristo na kuna wenye imani za kiislamu.

Sasa je hizi imani mbona zinapingana na kutofautiana mitazamo??
 
Hii ndiyo shida ya kujadili mambo na mashabiki wa Sayansi. Mimi. Naishi katika Sayansi sababu ni mtu wa hayo mambo.

Kama wapo Wanasayansi au hata Wahandisi unao waamini walete nijadili ane nao, sababu hao wanaishi humo. Huenda tukaelewana nao.
Sawa hili jambo naona liishe sasa...Nimeshakuambia msimamo wangu. Siwezi kuzitukana Neurones zangu zinazotumia ATP nyingi kubishana mambo kama haya.
 
Em nitajie namba ya mwisho ni ngapi, mimi ntakuambia ijumlishe na 1
 
mungu ni mawazo yako acha kumtisha
 
Kuna Mambo mawiili yakusumbua mleta mada, Either Njaa or Shine.
 
๐‘ฎ๐‘ถ๐‘ซ ๐’Š๐’” ๐‘ฌ๐’๐’†๐’“๐’ˆ๐’š ๐’‚๐’๐’… ๐’•๐’‰๐’‚๐’• ๐’†๐’๐’†๐’“๐’ˆ๐’š ๐’˜๐’‚๐’” ๐’„๐’“๐’†๐’‚๐’•๐’†๐’… ๐’ƒ๐’š ๐’–๐’๐’Š๐’—๐’†๐’“๐’”๐’† ๐’Š๐’•๐’”๐’†๐’๐’‡
 
Kuna kujadili na kuuliza maswali, wewe unajadili kama vile unalo lijadili una Elimu naloz hapa ndipo tatizo linapo anzia.
Trust me, elimu haina mwisho na hata wewe haujui kila kitu kuhusu unayojadili.
Basi sawa, Enhe wewe unajua jibu la swali ulilouliza? Ni lipi mkuu?
 
Soma post namba 421.
Hili nshakujibu. Nshakuambia mfano wa series za namba 1, 2, 3, 4...hazina mwisho kwasababu unaweza ukaendelea kuongezea Moja mbele milele na milele na usifike mwisho.
Kama unadai zina mwisho utaje apa, ni namba gani hiyo ya mwisho?? Mimi ntakuambia ijumlishe na moja.
 
Huwezi kusukuma gari ukiwa ndani ya gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ