Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Je kusema ahsante kwa baba yako kwa nguo alizokununulia licha ya kwamba alikuzaa yeye mwenyewe ni jambo baya!? ... Bila shaka ni jambo zuri.
Ukifanyiwa wema rudisha wema... Sio unafanyiwa wema wewe una rudisha matusi na dharau. HAIINGII AKILINI
Ni lazima mimi nirudishe wema kwa mtu ambaye ananipa kitu ambacho kukipata ni haki yangu nayeye kunipa ni wajibu wake ?
 
Nani aliyeifundisha akili yako kwamba kila kitu lazima kiwe na mwumbaji? Nani aliyekwambia kinyume cha kupanda ni kushuka? Kinyume cha kusini ni kaskazini? Unajua options zingine zilizokuwepo? Unadhani unazifahamu zote? Wakati huo hiyo akilo yako yupo aliyeitengeneza unadhani inaweza kufikia capacity ya mtengenezaji?
 
Mwanadamu bhana kapewa pumzi baada ya kumshukuru Muumba wake yeye anamkufuru kama hivi

Subiri siku iyo pumzi ikate ndo utamjua Mungu vizuri kma saivi hutaki kumjua
Hiyo pumzi si wajibu wake kumpa...ashukuriwe kwa jambo ambalo ni wajibu wake kulifanya?
 
Hili povu lote ni kumtetea huyo dikteta wenu anaejificha machakani ili mumtafute mkimkosa awachome moto hahahahahaa misukule ya mungu mnafurahisha.
 
Hili povu lote ni kumtetea huyo dikteta wenu anaejificha machakani ili mumtafute mkimkosa awachome moto hahahahahaa misukule ya mungu mnafurahisha.
Ni bora kuwa msukule wa Mungu saivi ili badae tuje tuwe wafalme wa wajinga na wapumbavu kama wewe
 
'Heri mtu Yule asiekwenda Katika njia ya wasio haki,Wala hakusimama Katika njia wa wakosaji,Wala hakuketi barazani pa wenye mzaha' MPUMBAVU amesema moyoni mwake hakuna MUNGU!!!!!
 
Ni bora kuwa msukule wa Mungu saivi ili badae tuje tuwe wafalme wa wajinga na wapumbavu kama wewe
Ndivyo mnavyoambiana hivyo!!
imani zipo kwaajili ya kujifariji kama hivyo....shida nyie mmetumbukia wazimawazima hadi mnakosa uhuru wa fikra.
 
'Heri mtu Yule asiekwenda Katika njia ya wasio haki,Wala hakusimama Katika njia wa wakosaji,Wala hakuketi barazani pa wenye mzaha' MPUMBAVU amesema moyoni mwake hakuna MUNGU!!!!!
Sasa badala ulete hoja za kumpinga ,unaleta vituko gani hivi sasa!!

Nayeye akiandika maneno "MSUKULE umesema moyoni mwake kuwa kuna MUNGU!!??

kila mtu anaweza kuandika anachojisikia...weka hoja toa upuuzi huo.
 
Sasa badala ulete hoja za kumpinga ,unaleta vituko gani hivi sasa!!

Nayeye akiandika maneno "MSUKULE umesema moyoni mwake kuwa kuna MUNGU!!??

kila mtu anaweza kuandika anachojisikia...weka hoja toa upuuzi huu
Nishamaliza Kama hujaelewa endelea kuamini UPUMBAVU WAKO
 
Miaka yako miwili ulipoteza muda
 
Sijui alikujaje....hill halifanyi jibu liwe mungu kaumba..

Inabifi tusiwe wavivu wa kufikiri ,tutulize akili na tufanye uchunguzi tupate majibu yenye mantiki zaidi na sio kujitungia majibu ya harakaharaka yasiyothibitishika.
Tunafikiria vizuri tu.... na ndio maana nimekuuliza.... Na wewe umejibu kirahisi tu sijui.....
Pia wewe bwana Cornwallis una imani yako... Hivyo unavyo fikiri lazima uegemee upande wa imani yako.. usikute imani yako haimini uwepo wa Mungu ama imani ya kikristo au uislam.. na ndio maana unakaza fuvu Mungu hayupo......
 
hakuna kitu ambacho hakipo kwa kutamkwa kwa jina mfano kusema mshana jr hayupo aileti maana unasemaje mungu hayupo na ikiwa una mtaja kwa jina mimi na kwambia mungu yupo haki ya mungu tena,
 
hakuna kitu ambacho hakipo kwa kutamkwa kwa jina mfano kusema mshana jr hayupo aileti maana unasemaje mungu hayupo na ikiwa una mtaja kwa jina mimi na kwambia mungu yupo haki ya mungu tena,
Kwaiyo kitu ukikitaja ndio kinakuwepo?
Mtu akimtaja spiderman inamfanya spiderman awepo?
Mtu akiitaja nchi ya Wakanda kunaifanya nchi ya Wakanda iwepo?
unaelewa unachokiongea wewe?
dini ndio zinawafanya mnafikiri kizombi namna hii?
 
Kwahiyo mtoa mada umekimbia sababu ya vitisho uchwara vya hawa jamaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…