Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Hakila hii ni kufuru ya kiwango cha juu sana. Nakusihi ndugu yangu, angali bado uhai tubu kadri uwezavyo uweze kupata huruma za Mungu Muumba. Umeongea wewe, ila mimi ndiye ninayetetemeka.
 
Kwa hiyo unatushaurije.
 
Ungeonesha basi hayo makosa unayoyasema umeyaona kwenye vitahu vitakatifu. Taurati, Injiri, Zabur na Quran ni vitabu halali vya Mungu. Mfano Qurani imeeleza bayana kuwa ni Kitabu kisicho na shaka ndani yake na uongofu kwa wenye kuamini. Eleza ni makosa yepi uliyoyaona ambayo pengine wewe ukiamua kuandika kitambu chako mfano wa Quran na Biblia (Injiri) hayatakuwepo.
 
Hoja nyepesi sana...Kila kitu hiki kinajulikana mechanisms zake
Okay now tell us who created such a mechanism? How did they come about? Zimetokeaje hizo systems za mwili ,majinina angani kwa namna zilivyo? Je wewe unauwezo wa kujitengenezea chakula na hewa yako yakukufanya kuishi nje ya kile ulichokikuta duniani hata kwa dakika 10 tu?
 
Sali na kuomba sana. Mungu mwenyewe atakupa majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…