Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Kuna wakati hua nafuatilia mijadala hasa kwa jamaa zangu wa CCM wanavyojigamba kwa sababu tu hawafikirii sawa sawa.
Matumaini makubwa kwao kua CCM inaendelea kutawala kwa sababu wapiga kura wengi wako vijijini, wewee nani kakudanganya wapiga kura wengi wako vijijini?
TWENDE NA HESABU HII, NAMBA HAIDANGANYI. CCM HUA MNAHUJUMU MATOKEO?
Kwa sasa mwamko mkubwa wa kua mabadiliko ya kisiasa yako kwenye Majiji makuu ya nchini kwa mfano Dar,Mwanza, Arusha, Mbeya na Tanga. Mwamko mwingine ni kutoka miji iliyochangamka kama vile Moshi, Morogoro, Kugoma,Iringa, Mtwara ni.
Chukulia Dar ina wakazi milion 5, wanajiandikisha siyo chini ya milion 2 au 3, Mbeya siyo jini ya milion 3 wanaojiandikisha, hali kadhalika Arusha siyo chini ya milion 2. Kama hatujui ni kwamba jiji moja linaweza kumeza mikoa 3 au 4 ya Wapiga kura.
Sasa CCM waendelee kubana pua kua wako vijijini, majiji pekee yanaweza kumpeleka mtu Ikulu.
Bado Wapinzani wana mikakati ya kuweka kambi vijijini huko. So, CCM ihesabu kua life span uake iko very short kwa sasa.
Kwa sasa Mgombea kama Tundu Lissu ni mjanja anajua hujuma zote wanazofanyaga CCM, ahuwezi kumshinda kwenye Sanduku la kura wala jukwaani.
Ndio maana jimboni kwake ni mpinzani pekee anayetoka mikoa ya kanda ya kati, hajawahi kushindwa huyu. Unaweza kushinda madiwani wote ila ubunge sahau.Ngoja tuone huu uchaguzi wa Urais JPM atanapenya na njia gani?